Je wewe umewahi kuliona hili

Je wewe umewahi kuliona hili

ha haaa, rafiki nimejichekea hapa!
ukweli huyo SIJUI hata mimi namtafuta sana, sijui nitampata lini?
Ana tabia mbaya sana huyu ,anapenda sana kujificha tena huwa hatokei kwa mazuri ni pale unapouliza jambo au iwe umetokea uharibifu flani ukiuliza jamani nani kafanya hivi utaambiwa SIJUI . Yaani hua najiuliza hivi huyu mtoto wazazi wake ni kina nani maana anakera .
 
Nichukue fursa hii kuwa mtu wakwanza kupokea baraka zako kwani hakika wewe ni mmoja kati ya wale kenda ambao huhupenda kuwaombea wenzao mema.
Nami nikutakie maandalizi mema.
Thanks buddy
 
Yaani anakarahisha mno . Asante dear

Cha muhimu unawabana kwa upendo na upole tu.......watasema....mi nimekutwa na situation hii many times kwa watoto ninao walea....mwisho wa wanekuwa wakisema kweli....ni kweli wakati mwingine inaudhai hasa ple kitu cha thamani kinapokuwa kimeharibiwa
 
Back
Top Bottom