Je Wewe Ni Mzazi? Ushauri Wako Kwa @Karucee Please.

Je Wewe Ni Mzazi? Ushauri Wako Kwa @Karucee Please.

pole girl. MIe nadhani nina psychology issues za paranoia when it comes to my current hg relationship with my son. Nipo tayari kumpeleka baby day care ila kumuacha na huyu hg wa sasa hivi ni NO. she cant do anything right jamani, mpaka huwa najiuliza why I still keep her @ The secretary

Mfundishe tu atamlea vizuri
 
aisee kuna mama msusi ambae mwanangu anampendaaaaa, huwa namuwaza sana yule mama. ndie alinifundisha jinsi ya kumkalisha baby na kumtengezea viuji vyepesi... umenipa wazo. ngoja baba mtoto akija tulijadili. thanks babes.
duuh!hiyo kali
labda upate mama mzima
hata wa kuja asbh na kuondoka
jioni!mi niliachaga kazi ili nilee mwanangu!
hawa wadada wadogo ni kazi kukulelea mtt inavyostahili!
pole sana!

 
aisee kuna mama msusi ambae mwanangu anampendaaaaa, huwa namuwaza sana yule mama. ndie alinifundisha jinsi ya kumkalisha baby na kumtengezea viuji vyepesi... umenipa wazo. ngoja baba mtoto akija tulijadili. thanks babes.

yah!fanya hivyo
my dear itakua afadhali!
 
Mfundishe tu atamlea vizuri
It has been too long. I give up. wala simlaumu. Mie bwana vitoto vichanga vilikuwa vinanipa phobia. From 2 years we can be best of friends.... so maybe she lacks interest, like I did.
 
Last edited by a moderator:
Kaizer namuona anachungulia. Toa maoni yako bro kwa huyu uncle wako
 
Last edited by a moderator:
Karucee I know its hard but ukijifunza taratiib utaweza tu kumwacha.......cha muhimu uwe na dada mzuri ambaye mtaelewana/mnaelewana, na ambaye ana uelewa kidogo wa malezi....kwa maana ya kujua mtoto anahitaji nini chakula gani, akiumwa anakuwaje, ampeleke hospitali gani wakati wa dharura nk.

you need to get abck to work and essentially thats the opportunity cost ypu have to bear
 
Last edited by a moderator:
Habari za jioni Wana MMU. Poleni na uchovu wa kurudi kazini na uchovu wa Pasaka.

Mie ni mzazi wa ka baby kenye umri wa miezi 6 na nusu. We are doing okay tunamshukuru Mungu. Tatizo ni kwamba nashindwa kukaa mbali na mtoto wangu. I am literally obsessed with my child. I do not let him out of my sight. Nimejaribu kwenda dukani hapa hapa mtaani mara mbili tatu namwachia hausigeli nyumbani. Ila sasa simu nitakazopiga mpaka narudi ni nyingi.
Sooner or later Mommy has to get busy, to work or further her studies so she has to learn to let go. Nashindwa mie nianzeje kujifunza kumuacha baby wangu home?

Wewe kama mzazi, how did you do it. Please nishauri. TIA.

Do not worry the obsession will go away after a while
 
Karucee I know its hard but ukijifunza taratiib utaweza tu kumwacha.......cha muhimu uwe na dada mzuri ambaye mtaelewana/mnaelewana, na ambaye ana uelewa kidogo wa malezi....kwa maana ya kujua mtoto anahitaji nini chakula gani, akiumwa anakuwaje, ampeleke hospitali gani wakati wa dharura nk.

you need to get abck to work and essentially thats the opportunity cost ypu have to bear

First things first, and I think getting a new househelp is my next move. Huyu nimemsamehe bure and am already searching for a new one. Thanks Kaizer.
 
Last edited by a moderator:
Ukikua kiuzazi utaacha. Ni hali ya kawaida, hasa kama uliyempata ni yule uliyekuwa unamtegemea
 
Hongera kwa kupata mtoto.

Kushindwa kukaa mbali na mtoto wako kwenye umri huo ni swala la kawaida kwa mzazi. Muhimu sasa hivi kama una mpango wa kurudi kazini au kujiendeleza kimasomo kama ulivyo sema, ni vizuri ukamuandaa mtu mapema wakati wewe pia upo karibu.

Kumuanda mtu wakati wewe upo karibu itakusaidia wewe kujenga imani kwa huyo mtu kwani utaweza kuona na kumfundisha pale anapokesea. Na huyo mtu pia atapata nafasi kuona tabia za mtoto wako na ataweza kujifunza njia za kumtuliza huyo mtoto.Na pia utaweza kuona upendo wake kwa mtoto wako na utaweza kumpa nafasi mtoto wako ajenge imani na upendo kwa huyo mtu wakati wewe upo.

Ushauri wangu ndio huo, mpe nafasi mtoto wako kuwaamini watu wako wa karibu hili unapo muacha nao kuwe na amani hapo nyumbani. Waache watu wacheze nae,walimshe, wambadilishe nguo wakati wewe upo, inamsaidia mtoto kuwaamini. Mara nyingi tunawapa watoto wakati mgumu tunapowaacha na watu ambao hawajazoeana nao na matokeo yake mtoto analia hovyo mpaka huyo mtu anapata hasira na kufanya vitu ambavyo vinaweza kuwa hatari kwa mtoto.

Nakutakia kila la kheri kwenye kumlea mtoto wako na Mwenyezi Mungu atamlinda.
 
Mie ni mzazi wa ka baby kenye umri wa miezi 6 na nusu. We are doing okay tunamshukuru Mungu. Tatizo ni kwamba nashindwa kukaa mbali na mtoto wangu.
Sidhani kama ni vibaya its the mother in you.., nadhani ingekuwa opposite hapo ndio kungekuwa na tatizo

I am literally obsessed with my child. I do not let him out of my sight. Nimejaribu kwenda dukani hapa hapa mtaani mara mbili tatu namwachia hausigeli nyumbani. Ila sasa simu nitakazopiga mpaka narudi ni nyingi.
Pia hizo ndio kazi za simu hata kama ukipiga mia moja its all good ipe moyo kitu inapenda kama uwezo upo wa kuwa nae karibu sasa cherish the moment hatujui kesho..

Sooner or later Mommy has to get busy, to work or further her studies so she has to learn to let go. Nashindwa mie nianzeje kujifunza kumuacha baby wangu home? Wewe kama mzazi, how did you do it. Please nishauri. TIA.

Wakati ukifika you will cross the bridge when you reach it.., alafu hata huko unaweza kuendelea kuwa unapiga simu
 
unajua nini Passion Lady, hg bwana ana issues, whatever she does inabidi niwepo ili mambo yaende. Mfano jana nilimuagiza fruits za mtoto. Can you believe aliziweka hivyo hivyo kwenye fridge? Sasa hivi natoa ili nisage na bananas for my baby nashangaa machafu. sasa pata picha umuachie mtoto? Maybe nikipata mwingine reliable, my mind will relax.

Cha muhimu pia ni kwa wewe kukaa karibu na dada ku-observe vile anavyofanya. Huo ndio muda ambao utamrekebisha kama kuna kitu anachofanya ambacho hakikupendezi au hakiko sawa. Je, ulishawahi kumwambia kabla kuwa asiweke kitu kwenye friji bila kuoshwa? Manake usije ukawa unafanya assumption kuwa anajua afanyalo kumbe sivyo.
 
hadi sasa hivi nashangaa sijamuona mwaJ kwenye huu uzi. mia
 
Last edited by a moderator:
hadi sasa hivi nashangaa sijamuona mwaJ kwenye huu uzi. mia
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom