Je Wewe Ni Mzazi? Ushauri Wako Kwa @Karucee Please.

Karucee

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2012
Posts
18,196
Reaction score
34,502
Habari za jioni Wana MMU. Poleni na uchovu wa kurudi kazini na uchovu wa Pasaka.

Mie ni mzazi wa ka baby kenye umri wa miezi 6 na nusu. We are doing okay tunamshukuru Mungu. Tatizo ni kwamba nashindwa kukaa mbali na mtoto wangu. I am literally obsessed with my child. I do not let him out of my sight. Nimejaribu kwenda dukani hapa hapa mtaani mara mbili tatu namwachia hausigeli nyumbani. Ila sasa simu nitakazopiga mpaka narudi ni nyingi.
Sooner or later Mommy has to get busy, to work or further her studies so she has to learn to let go. Nashindwa mie nianzeje kujifunza kumuacha baby wangu home?

Wewe kama mzazi, how did you do it. Please nishauri. TIA.
 
Its normal to any perfect woman to be strongly connected to her child. And that is a biological phenomenon controlled by lactating hormones.....but with time hiyo hamu ya kuwa karibu na kibebi chako ukishakiachisha kunyonya itakwisha tu. Ila ushauri wangu mwingine ni kwamba hivi! Jitahidi kuacha kupiga-piga simu jamani na wewe....jikaze.
 
Its normal to any perfect woman to be strongly connected to her child. And that is a biological phenomenon controlled by lactating hormones.....but with time hiyo hamu ya kuwa karibu na kibebi chako ukishakiachisha kunyonya itakwisha tu. Ila ushauri wangu mwingine ni kwamba hivi! Jitahidi kuacha kupiga-piga simu jamani na wewe....jikaze. But unaposema washindwa kwenda kazini na kujiendeleza kimasomo....hapo kidogo sikuelewi..!!!!But kama wafanya kazi/masomo karibu na home kwako try to find out means za kuwa ukimuattend mwanao occasionally paspo kuathiri kazi/masomo yako.
 
ni ngumu sana i see!ila one has to!
unaweza kuanza kwa kumuacha muda mfupi mfupi thn ukajipa masaa ya kuwa unapiga simu home to check kama yupo okey!ukikuta yupo fine usirudi keep on him being with the dada and the dada aone unamtrust kukuangalizia huyo mchek bob wetu!
hakikisha kabla ya kuondoka umeandaa kila kitu for him,maziwa,sijui vyombo vyake,nguo za kubadili and all the muhimu !
yah its high time now mum has to get back to work and studies!
leo sina kesi na wewe!
we are talking about the kid here,cant yu see?
 
Huyo ni kifungua mimba chako ndo maana, ukishamzoea basi utajikuta hata kusafiri unasafiri na kumwachia dada.
binafsi hali hii ilinisumbuka kwa kifungua mimba wangu, and real nilikua siwez hata kuwa mbali naye kwa nusu saa.

kilichi nisaidia ni kwamba niliwaza mtoto wangu ana vaa nini?? ana kula nini? ana kunywa nn? je nani ndiye provider wa haya yote?? je kama yupo provider ana kidhi kuprovide alone ama anahitaj sec hand?? nikajikuta nata majibu haya:

kwa nilivyoiona familia yangu mimi. mwanagu anakula, kunywa kuvaa kulala kwa vitu vinavyohitaj pesa na hizi pesa lazima zitafutwe, na mtafutaj aliyeko hawez kutafuta mwenyewe anahitaj msaada, na msaada wenyewe ni mimi.

kwa upande wa pili nikawaza, je nihakikisha vipi ninafanya haya while taking care of my baby's health, hygine and security?? nikajipangia ratiba ya kuanzia kula, usafi na kulala kwa mtoto na nikayagawa haya majukumu kwa dada na mimi ili kuhakikisha kwamba nayatimiza vyema.
 
Pole na hongera kwa kuwa na baby umpendaye.Kadri anavyokuwa ndivyo utakavyozidi kupunguza kumpenda maana utakuwa umemzoea sana.
 
ni ngumu sana i see!ila one has to!
unaweza kuanza kwa kumuacha muda mfupi mfupi thn ukajipa masaa ya kuwa unapiga simu home to check kama yupo okey!ukikuta yupo fine usirudi keep on him being with the dada and the dada aone unamtrust kukuangalizia huyo mchek bob wetu!
hakikisha kabla ya kuondoka umeandaa kila kitu for him,maziwa,sijui vyombo vyake,nguo za kubadili and all the muhimu !
yah its high time now mum has to get back to work and studies!
leo sina kesi na wewe!
we are talking about the kid here,cant yu see?
ila nina kesi na wewe.
 
Ni jambo jema kwa mzazi kumpenda mwanae kwa kiwango kama hicho, kama mwanaume kumpenda mke wake, na hiki ni kipindi ambacho pia mwanamke anahamisha upendo toka kwa mume wake kwenda kwa mtoto 100%, inaweza leta wivu kwa baba.

hongera kwa kuwa mama.
 
asante mkuu wangu Lyagwa
 
Last edited by a moderator:
Huyo ni kifungua mimba chako ndo maana, ukishamzoea basi utajikuta hata kusafiri unasafiri na kumwachia dada.
binafsi hali hii ilinisumbuka kwa kifungua mimba wangu, and real nilikua siwez hata kuwa mbali naye kwa nusu saa.

kilichi nisaidia ni kwamba niliwaza mtoto wangu ana vaa nini?? ana kula nini? ana kunywa nn? je nani ndiye provider wa haya yote?? je kama yupo provider ana kidhi kuprovide alone ama anahitaj sec hand?? nikajikuta nata majibu haya:

kwa nilivyoiona familia yangu mimi. mwanagu anakula, kunywa kuvaa kulala kwa vitu vinavyohitaj pesa na hizi pesa lazima zitafutwe, na mtafutaj aliyeko hawez kutafuta mwenyewe anahitaj msaada, na msaada wenyewe ni mimi.

kwa upande wa pili nikawaza, je nihakikisha vipi ninafanya haya while taking care of my baby's health, hygine and security?? nikajipangia ratiba ya kuanzia kula, usafi na kulala kwa mtoto na nikayagawa haya majukumu kwa dada na mimi ili kuhakikisha kwamba nayatimiza vyema.

asante Da gfsonwin. Yeah itabidi niwe na mindset hiyo kwa sababu I want the best for my child. Its only by working that I can ensure I give him a solid foundation. God help me.
 
Last edited by a moderator:
Huyo ni kifungua mimba chako ndo maana, ukishamzoea basi utajikuta hata kusafiri unasafiri na kumwachia dada.
binafsi hali hii ilinisumbuka kwa kifungua mimba wangu, and real nilikua siwez hata kuwa mbali naye kwa nusu saa.

kilichi nisaidia ni kwamba niliwaza mtoto wangu ana vaa nini?? ana kula nini? ana kunywa nn? je nani ndiye provider wa haya yote?? je kama yupo provider ana kidhi kuprovide alone ama anahitaj sec hand?? nikajikuta nata majibu haya:

kwa nilivyoiona familia yangu mimi. mwanagu anakula, kunywa kuvaa kulala kwa vitu vinavyohitaj pesa na hizi pesa lazima zitafutwe, na mtafutaj aliyeko hawez kutafuta mwenyewe anahitaj msaada, na msaada wenyewe ni mimi.

kwa upande wa pili nikawaza, je nihakikisha vipi ninafanya haya while taking care of my baby's health, hygine and security?? nikajipangia ratiba ya kuanzia kula, usafi na kulala kwa mtoto na nikayagawa haya majukumu kwa dada na mimi ili kuhakikisha kwamba nayatimiza vyema.

Kumbe vifungua minba wanawatesa sana mama zao gfsonwin?
Inatakiwa niongeze upendo kwa mama yangu mara dufu.
 
Last edited by a moderator:
Karucee mi mpaka leo nashindwa kuwa naye mbali angalau kameanza shule lakini nikipata safari nahairisha nikikumbuka kumwacha.
 
Last edited by a moderator:
mh!shughuli hiyo!
tena ukimuachia hg
unahisi kama atamuangusha vile!

unajua nini Passion Lady, hg bwana ana issues, whatever she does inabidi niwepo ili mambo yaende. Mfano jana nilimuagiza fruits za mtoto. Can you believe aliziweka hivyo hivyo kwenye fridge? Sasa hivi natoa ili nisage na bananas for my baby nashangaa machafu. sasa pata picha umuachie mtoto? Maybe nikipata mwingine reliable, my mind will relax.
 
Last edited by a moderator:
Karucee mi mpaka leo nashindwa kuwa naye mbali angalau kameanza shule lakini nikipata safari nahairisha nikikumbuka kumwacha.

pole girl. MIe nadhani nina psychology issues za paranoia when it comes to my current hg relationship with my son. Nipo tayari kumpeleka baby day care ila kumuacha na huyu hg wa sasa hivi ni NO. she cant do anything right jamani, mpaka huwa najiuliza why I still keep her @ The secretary
 
duuh!hiyo kali
labda upate mama mzima
hata wa kuja asbh na kuondoka
jioni!mi niliachaga kazi ili nilee mwanangu!
hawa wadada wadogo ni kazi kukulelea mtt inavyostahili!
pole sana!

Back
Top Bottom