je we ni chotara...?

ummu kulthum

JF-Expert Member
Feb 6, 2012
2,785
1,317
mi ni chotara nimezaliwa na mama mndengereko na baba mnyakyusa nimetokea chotara.nitajazaa na platozoom mtoto atakayezaliwa atakuwa ni chotara.hiki kizazi tulichonacho ni cha machotara au vip?if yes like it,if no comment 9ce 9t 2 all.
 
Last edited by a moderator:
mi ni chotara nimezaliwa na mama mndegoreko na baba mnyakyusa nimetokea chotara.nitajazaa na platozoom mtoto atakayezaliwa atakuwa ni chotara.hiki kizazi tulichonacho ni cha machotara au vip?if yes like it,if no comment 9ce 9t 2 all.

Konda alikuwa amekasirika sana,abiria mmoja alikuwa kakataa kulipa nauli ya gari akisisitiza ati ye ni mwanafunzi wakati kila mtu aliona ni mtu mzima.

Konda kwa hasira akamtoa jamaa nje wakaanza kupigana nae,abiria alipoona anapigwa akaanza kukimbia.

Konda akamfukuza,mwishowe abiria akaingia kwenye shimo konda alipofika pale akakuta hawezi kuingia kwa shimo,kwa kisirani alichokuwa nacho akaamua amkojolee humo humo kwenye shimo.

Alipomaliza wamama wa kiswahili waliokuwa karibu wakaanza kumchocha konda "Mnyee huyo...ndio siku nyingine asirudie mkunyie humo ndani!!"

Konda akavua suruali akalenga lile shimo na kuachilia kitu.Hapo ndio aliposikia sauti ya hasira ya mkewe ikifuatwa na makofi "Pumbavu! Mshenzi wewe balaa gani umefanya hii!!"
Konda alipozinduka toka usingizini akakuta amekunya kitandani!!"
 
Na watoto wenu mnalelea fesibuku! Matokeo yake kiinglish hawajui, kilugha holaa, kiswahili hamuna, wanaandika ile lugha ya xana na hacra!
 
Na watoto wenu mnalelea fesibuku! Matokeo yake kiinglish hawajui, kilugha holaa, kiswahili hamuna, wanaandika ile lugha ya xana na hacra!

hiyo ni kweli kabisa yaan mtu anaweza akuandikie sms ya kiswahili ukaambulia patupu kwa aibu unaenda hewani maaana huelewi, na hii sijui tuiteshe?
 
Back
Top Bottom