The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,602
- 6,097
cm ni kitu personal,hata kama huna chochote cha kuficha lkn lazima tukubaliane na ukweli kwamba si yoooooooooote mnaambizana au kufanya pamoja kama wanandoa,kuna masuala mengine ni ya mashostito,familia,etc usipojihamini wewe kwanza,huwezi kumwamini mwenzio,kama kuna chochote unahisi si kizuri si ufanye uchunguzi wako au muulize mwenzio?kwann kuishi maisha ya digidigi?maisha mafupi bana kufatiiana weka shida chini tupa mikono juu alafu ba banjuuuka tu.
kwann kuishi maisha ya digidigi?maisha mafupi bana kufatiiana weka shida chini tupa mikono juu alafu ba banjuuuka tu.
Kwangu itakuwa ngumu sio kuficha kitu la hasha ni mambo ya kazi. Simu yangu imeconnectiwa na shughuli za ofisi kwa hio kuna update nitaweza kukosa au kupigiwa na bosi kuna emergence kazini nishindwe kwa vile atakuwa nayo mama. Cha muhimu ni kupendana na kuaminiana. Infact siku hizi vicheche vina simu maalumu vinaacha ofisini kwenye droo hazifiki nyumbani kabisa.
Sasa kama ni hivyo ya nini kuoana? Si ni heri uishi singo tu ufanye utakavyo...i.e. mega yoyote yule unayetaka kumega au megwa na yoyote yule unayetaka akumege...
nachomahanisha ni kwamba muamini mwenzio ili usijipe pressure wala usipate pressure,hata baibo inasema kila kifanyacho kwenye giza kuna siku litawekwa kwenye nuru.
Sasa kama ni hivyo ya nini kuoana? Si ni heri uishi singo tu ufanye utakavyo...i.e. mega yoyote yule unayetaka kumega au megwa na yoyote yule unayetaka akumege...
Ndiyo maana sitakuja kuoa. Yaani nioe halafu mke wangu awe na vyake ambavyo haviingiliki? WTF????!!!!!!
NN you despise marriage with all your heart sijui kwa nini(makes me sad). Navyosoma posts zako yani its like you were into it sometime back and it didnt meet your expectations kwa hiyo ikawa hivyo. But navyojua marriage is more than that, more than what you think it is, more than what you have seen and until you decide to get married (highly unlikely of you) thats when you will see and understand and learn more whatever the circumstances you will face including kunyimwa simu na mkeo.
Hapa tupo pamoja komredi hit and run ni njia nzuri sana
sasa mbona unanilazimisha nifanye kama wewe????Full usanii!!!!! Kama huna la kuficha shida yote ya nini? Kwa nini ukifika kazini au popote uendako usimpigie mumeo na kumwomba akuletee hiyo simu? Na kwa nini ujibaraguze kama dhamiri yako iko safi?
Sielewi kabisa kwa nini watu wanalazimisha ndoa.
Hapa tupo pamoja komredi hit and run ni njia nzuri sana
Yaani hii haina pressure, stress, wala sijui babake nani. Ni kumega kwa kwenda mbele. Chuda raha :becky::becky:
Yaani hii haina pressure, stress, wala sijui babake nani. Ni kumega kwa kwenda mbele. Chuda raha :becky::becky:
sasa mbona unanilazimisha nifanye kama wewe????
me hata kama sina cha kuficha sitaki ushikeshike simu yangu, kwanza mwengine hajui kutumia simu unaweza kuta kafuta contact zote au sms zote hata kama zilikuwa za kikazi lol!!!
Ha Ha Ha mpwa mambo yetu yale ya TII KIU YAKO ukimaliza unasepa
haina shida kumega na kuacha lkn wakati unamega na kuacha fikiria ndo dadako anafanyiwa hivyo na lijamaa au ni yule mtoto wako wa kike umpendae na kumwamini jamaa wa kwanza anamega na kusepa ,wapili nae hivyo wa 3,wa 4...........10,How does it feel?si unajua kila mla vya wenzie na vyake ane huliwa?
Mwenzio (mwenza/ mwenzi wako) anakujia na wazo la kubadilishana simu za mkononi angalau kwa wiki moja - kuanzia Jumatatu asubuhi hadi Jumapili jioni.
Na anataka mbadilishane papo hapo bila kusubiri chochote. Yeye atakuwa na simu yako kwa hiyo wiki nzima na ataweza kupokea simu zako, text messages zako, na mengineyo na wewe utaweza kufanya vivyo hivyo na simu yake.
Je utafanya nini? Utamkubalia? Au utampiga tarehe kwanza ili upate wasaa wa kuwataarifu baadhi ya watu kuwa mwenzio anayo simu yako kwa hiyo wasikutafute kwenye namba hiyo i.e. kuweka mambo sawa?
Du..i didnt know this!..people mean business:A S embarassed::A S embarassed:Kwangu itakuwa ngumu sio kuficha kitu la hasha ni mambo ya kazi. Simu yangu imeconnectiwa na shughuli za ofisi kwa hio kuna update nitaweza kukosa au kupigiwa na bosi kuna emergence kazini nishindwe kwa vile atakuwa nayo mama. Cha muhimu ni kupendana na kuaminiana. Infact siku hizi vicheche vina simu maalumu vinaacha ofisini kwenye droo hazifiki nyumbani kabisa.
...hapana bana, kama ni hivyo; mimi anipe email, msn messenger na facebook passwords zake kwa muda huo.