Je Watu Weusi Tunahitaji Sunscreen???

Watu weusi wa kike au kiume ?
Kwa wanaume inaweza ikawa ni upinde kufanya hivyo.

Kwa mwanamke kuna aina ya vipodozi kwa ajili ya weusi na wale maji ya kunde na weupe kabisa.
 
Ndo habari ya mujini kwa sasa watu wanapiga helaa...
Otherwise kunywa maji ya kutosha mwili uwe hydrated
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…