Je, Watanzania hatuaminiani?

Kwa hiyo suala la uwanja na msikiti inawezekana tukawa tumepigwa changa la macho?
 


Sisi hatutaki watafiti uchwara wenu

Sisi Tunataka TWAWEZA
 
Kwa hiyo suala la uwanja na msikiti inawezekana tukawa tumepigwa changa la macho?

Hahahahaha...Of ourse

Kwani mfalme wa morocco aliahidi

Ni ni Mungu wa Kabili ndio aliomba ajengewe
 
Wangesema ni wajinga tuu mbona wanaficha ukweli madini utadhani hayapo Tanzania Nchi na Raia wake choka mbaya utadhani hatuna hata Rasilimali yeyote...
 
kivuko feki,mabehewa chakavu,lugumi,kiwanda Hewa Lindi,chenji ya Rada,Reli kwenda Airport nk wametumbuliwa lini? Hii pesa inapotelea kwa siasa za maji Taka ya akina Lipumba unadhani hawaioni?
 
Utafiti unaonesha familiar ya mtoa post inaongoza kwa utapeli
 
Mbinu kubwa ambayo hutumiwa na wazungu ili kumtawala mwafrika kisaikolojia ni kuja na porojo kama hizi
Trump mwenyewe alikuwa anadaiwa, Yule Rais wa FIFA
Tip of the iceberg: the role of the banks in the FIFA story | Global Witness
Usisikilize sana unayoambiwa na watu
Mzungu anataka kumtawala mwafrika kwa 100% na ndiyo maana waafrika waliokwenda shule hawawapendi wazungu kwa sababu they are fooling us, hata elimu yao inatupumbaza! Wao wanataka tu kutuona sisi siyo Bora siku zote,
Soma vizuri utaelewa,
Najua hufahamu kwamba kuna magonjwa yameletwa ili kukontrol population ya watu duniani hasa afrika
hakuna ugonjwa usio na dawa
yametengenezwa ili kukontrol population
najua hufahamu kwamba baada ya muda hakutakuwa na mbegu za mahindi original
people are making business, kila mbegu inayotengenezwa kwa sasa unaotesha mara moja tuu unapata zao na kila msimu lazima ununue,
watch out my african people
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa
 
Do not cheat people,where did the radar scandle happen which led to millions refunded to TZ ?
Cabinet ministers Claire Short and Robin Cook tried to stopthe sale of a hugely expensive radar to the poverty- stricken Tanzanians.
 
Mbona marekani kuna kura hewa zimepigwa wameshika nafasi ya ngapi
 
Achana na wazungu matapeli .
...tushike yetu milele
 
case study yawezekana ilikuwa chama kile cha upinzani ....na ccm via jecha
 
Labda watupige mabomu, hii nchi inaenda mbele vibaya mno. Hao nabwana zenu kama hamjui wanaiongelea Tanzania kinyiume chake.
Kumbe tunaenda mbele vibaya? Du! Nilifikili tunaenda dar vizuri? Mungu atuokoe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…