ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
Natumai wanajf mnaendelea vyema ila nina Neno la kusema nanyi mwishoni mwa mwaka huu 2012
Awali ya yote nawatakia sikukuu njema ya XMASS na mwaka Mpya mwema. Ila nina jambo nataka kuwashirikisha kipindi hicho cha mwisho wa mwaka huu 2012 Si kila mtu anaweza kuvuka katika yale aliyoyatarajia tokea January mpaka December hii wala si wote walioweza kuvuka ng'ambo ya mto mwingine, kuna wengine waliishia njiani na kuona dhoruba kali ya mawimbi ya maji yakikwamisha yale waliojiwekea, walidhani kuwa ipo siku wangeweza kutatua hayo yaliyowakumba lakini mwishoe walioambulia patupu, habari hii ni kwa wale wote waliopigana na maisha na hawakutegemea kuona mlango wa kutokea katika shida, matatizo, barries, ama jambo lolote walilopanga mwaka huu. Ningependa kuwashauri na kuwatia moyo kuwa wasikate tamaa na kuona kuwa hatawerza tena lipo tumaini la kuvuka ng'ambo ya mto na kutoka hapo walipo, kitu ambacho ningeweza kuwakumbusha ni kuondoa dhana ya kushindwa kuthubutu kufanya kile ulichojiwekea mwaka huu au ile hali ya woga ya kutokuthubutu kutekeleza. Ukiondoa dhana hiyo potofu basi utaweza kutokea katika mlango wa pili wa mstakabali wa maisha yako nawe UTASHINDA vikwazo vilivyoko kwako. Napenda kuwatamkia baraka na amafanikio kwa wale walioona kuwa mwaka huu wameshindwa wajue kuna kuvuka kwa mwaka mwingine wa 2013 pale UTAKAPOTAMBUA NA KUTHUBUTU KUFANYA AU KUTENDA LILE ULILOLIPANGA ANZA SASA KUPANGA MATARAJIO YAKO BADO UJACHELEWA. UKITHUBUTU TU UTASHINDA KWA MWAKA MWINGINE WA 2013.
NINGELIPENDA KUCHUKUA FURSA HII KUWAOMBA RADHI (MSAMAHA) KWA WALE AMBAO KWA NAMNA MOJA AMA NYINGINE NILIPOST AU KUTUMA THREAD AMBAYO ILIWAKERA NA KUWAUDHI KWA MWAKA HUU 2012
NA KUWATAKIA KHERI NA BARAKA ZA MAFANIKIO KWA KUUKARIBISHA MWAKA 2013
POKEENI KAZAWADI HAKA