Swali "
Tunahitaji institutional change either simultaneously with or before regime change.
Hilo la swali kukosewa hata mimi nililiona....
Ni kweli lazima kuwe na sababu na sababu yenyewe ni CCM wameshindwa kuongoza.
Umewahi kujiuliza hivi ni kwa nini CCM inaendelea kuwa madarakani huku taifa likibomoka badala ya kujengeka?
Kuna kitu kiliweza kukushawishi wewe kufikia kauli ya "CCM wameshindwa kuongoza".. now you tell me, nini kifanyike kuweza kuwafanya mamilioni ya Watanzania waweze kufikia hitimisho hilo. Kwa sababu unless uniambie kuwa ulipata mafunuo usiku mmoja kuwa "CCM imeshindwa kuongoza" siwezi kushangaa it has been an intellectual realization of that truth. Sasa mimi nakukaribisha kijijini na wanakijiji wanataka wakusikilize ili waweze kuona CCM imeshindwa kuongoza. While you are making your case anticipate all their possible objections and your responses to them.. go! Jenga kesi kwa wanakijiji, usiwafikirie wasomi au wafanyabiashara... just simple peasants from Nasa, Kiseja, Igogo, Igoma, Bariadi, Ngwanakunungu.. n.k... wanataka uwashawishi kuwa CCM imeshindwa kuongoza.
Ingawa mie sio mtaalam wa mambo ya sheria au siasa nahisi Mabadiliko muhimu ni pamoja na:
Bunge lipewe nguvu zaidi na kuweza pia kuchallenge na kumuwajibisha rais.
wizara ya katiba na sheria ivunjwe na kuwa departments katika bunge ili kuwezesha uchunguzi huru pale mambo yanapokuwa kama yalivyo sasa.
Wabunge wasiwe mawaziri bali wajishughulishe na shughuli za maendeleo kwenye majimbo yao.
Kuna kitu kiliweza kukushawishi wewe kufikia kauli ya "CCM wameshindwa kuongoza".. now you tell me, nini kifanyike kuweza kuwafanya mamilioni ya Watanzania waweze kufikia hitimisho hilo. Kwa sababu unless uniambie kuwa ulipata mafunuo usiku mmoja kuwa "CCM imeshindwa kuongoza" siwezi kushangaa it has been an intellectual realization of that truth. Sasa mimi nakukaribisha kijijini na wanakijiji wanataka wakusikilize ili waweze kuona CCM imeshindwa kuongoza. While you are making your case anticipate all their possible objections and your responses to them.. go! Jenga kesi kwa wanakijiji, usiwafikirie wasomi au wafanyabiashara... just simple peasants from Nasa, Kiseja, Igogo, Igoma, Bariadi, Ngwanakunungu.. n.k... wanataka uwashawishi kuwa CCM imeshindwa kuongoza.
Mama:
Bunge lina nguvu zote lakini waliomo wanalinda maslahi yao, wanaogopa au hawajuhi la kufanya.
sasa kama hawajui la kufanya nini kiliwafanya wagombee nyadhifa hizo?
Mama:
Bunge lina nguvu zote lakini waliomo wanalinda maslahi yao, wanaogopa au hawajuhi la kufanya.
Swali "Hivi wapinzani wataweza kutuletea maendeleo wakipewa nchi?" ni murua, kwa nilivyolielewa mimi.
Msingi ni kuwa, hebu tufikirie kuwa wapinzani ndiyo wameshapewa nchi, hivi wataweza kutuletea maendeleo?
Ndipo mimi nilipotoa concerns zangu kuwa tunachohitaji si kuondoa chama tawala tu, bali pia na institutional changes pamoja na kubadili mentality/ kuongeza elimu ya watu.
Maana hata hao wapinzani wakiingia madarakani wataacha kuwa wapinzani na watakuwa chama "twawala" kama wanavyosema wakina makengeza.It's human nature, wewe leo huna clout, kesho rais una largesse ya kuchagua entourage lako zima liwe wakuu wa mikoa, wilaya, viongozi wa mashirika ete unafikiri itakuwa rahisi kubadili katiba? Yamemshinda Kibaki hata baada ya kuahidi watu, yamemshinda Kikwete huyo hapo mpaka kesho anachagua watu bogus wa mtandao.
Hili ni moja ya maswali yaliyo na maana kabisa.Swali liko one step ahead of the times, wakati kila mtu anajiuliza ni jinsi gani ya kuitoa CCM, swali limechukulia for granted tu kwamba kwa mujibu wa trend hii basi CCM itatoka tu, si mbali sana.For the sake of argument hata kama hawatoki lets say wametoka na wapinzani wamechukua nchi, then what, under our current settings kuna kitu kitabadilika?
IMHO, I do not think much will change for the better, to the contrary, possibly for the worse.
Tunahitaji institutional change either simultaneously with or before regime change.
kufanya ufisadi na kulinda mali zao za kifisadi - chenge!
Hapo nakubaliana na wewe. Ila swali kwako: unaamini wapinzani wanaweza au hawawezi kuongoza nchi?
Mkjj,
Ukisoma JF kwa mwezi mmoja tu utagundua kuwa hii ni kweli!
Kuongoza nchi si hoja, si huyo hapo Kikwete anaongoza nchi.Swala anaongoza kwenda wapi?
Si wapinzani wala CCM wanaoweza kuongoza nchi katika direction ya "kutuletea maendeleo" kama swali la kichwa cha thread linavyouliza, ni misingi mizuri ya institutions na electorate yenye elimu itakayowakalia kooni na ku force yeyote atakayekuwa katika uongozi kuleta maendeleo.
Power to the people!
Bimdogo.. sidhani kama tatizo ni mimi. I know that is the case. Tatizo ndugu yangu wa kule Kigurunyembe ambaye hana JF au wa kule Mkongo ambaye hajawahi kusikia JF tutamsaidia vipi kuona ukweli huu kuwa CCM imeshindwa kuongoza. Mimi siyo wa kushawishi kwani niko upande unaoona ukweli huo. Wale wanakijiji wenzangu je?
Vinginevyo kwa kuzungumzia hapa tutakuwa tunaihubiria kwaya (a terrible translation)..

Kwa maana hiyo wapinzani kuchukua nchi bado kidogo, kuna kazi ya 1.kuimarisha roots vijijini ambapo ndipo kuna wapiga kura wengi
2. Kubadili kwa katiba ili hata pale watakapochukua nchi at least kuna pa kuanzia. Kwa hali ilivyo sasa labda Mungu mwenyewe ndio anaweza kuiongoza Tanzania kwenye maendeleo 'sizitaki mbichi hizi'
At least you admit even CCM isn't qualified kuongoza nchi kwenye direction tunayotaka...