Je, wanatamani wavae kama yeye?

Je, wanatamani wavae kama yeye?

Status
Not open for further replies.

Tony Laurent

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2011
Posts
6,453
Reaction score
8,437
Je, wamevutiwa.jpg

Je, wanamshangaa kwa kupendeza au kwa kuchukiza?
 
Wanamshangaa kwa sababu wao wana figure nzuri kuliko yeye lakini hawajidai eti
 
Hizo nguo nyeusi zinaingiza joto jingi la jua na kumfanya mvaaji kujisikia vibaya. Wanatamani wawe free kama huyo dada wanayemkodolea macho.
 
Hizo nguo nyeusi zinaingiza joto jingi la jua na kumfanya mvaaji kujisikia vibaya. Wanatamani wawe free kama huyo dada wanayemkodolea macho.




Toa mawazo ya kiutu mkuu! mbona unacomment kama sio binadamu vile.
 
Wao wako jela, mwenzao yuko huru. Wanautamani huo Uhuru. Kama wanakwenda club vile!
 
Wao wenyewe hao ukiwafunua humo hawana kitu hayo mababui huficha mengiii
 
Hizo nguo nyeusi zinaingiza joto jingi la jua na kumfanya mvaaji kujisikia vibaya. Wanatamani wawe free kama huyo dada wanayemkodolea macho.


Acha uongo mara nyingi huwa tunawacheka wadada wanaokwenda uchi hata wanachokionesha hakijulikani yaan wanatia huruma kabisaa
 
Labda ungeuliza wavue kama yeye? huyo kavaa kavuwa?

Wanamuona mwendawazimu tu.

Ustaarabu wa binaadam ulianzia kwa kujistiri tupu zao, leo wengine wanarudi kwenye ujahilia kwa kujiweka uchi.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom