Mitandaoni kuelekea uchaguzi mkuu wa Israeli

Mitandaoni kuelekea uchaguzi mkuu wa Israeli

Ben Bibi Netanyahu kahudumu kama miongo miwili ya uwaziri mkuu, wayahudi labda wanataka ladha mpya.
 
Mm naona huko napo mambo yaleyale kama CCM tu mbele kwa mbele

Wanaongea mtandaoni wengi hawapigi kura kama takataka za chadema ukiondoa lisu mnyika na yule jamaa mwingne sijui makamu
 
Mm naona huko napo mambo yaleyale kama CCM tu mbele kwa mbele

Wanaongea mtandaoni wengi hawapigi kura kama takataka za chadema ukiondoa lisu mnyika na yule jamaa mwingne sijui makamu
Ngoja tuone wayahudi wa chunya wanadai neta akishindwa atakaye kuja ataifuta palestina siku mbili😅
 
Kwa jicho la mitandaoni na maoni mbalimbali , wayahudi na wazayuni ni kama wameshamchoka, Netanyahu kabaisa🤔

Ila ukija kwa wayahudi wa chunya na mpitimbi, wanatamani Netanyahu ashinde😅
Wenye chuki binafsi na Netanyahu Endeleeni kujifariji tu cha moto kiko palepale!!
 
Back
Top Bottom