Ignas lyamuya
JF-Expert Member
- Jan 17, 2019
- 777
- 858
Niliwahi kuandika thread hapa hapa jukwaani kuhusu usaliti wa yuda kwa yesu kuwa ni tulio/kitendo kklichopangwa kabla ila yuda alikuja kukamilisha script iliyotayali lakini kwa maksudi mods waliufuta ule uzi.Katika suala la free will binadamu na viumbe wengine hicho kitu hatuna bali limewekwa kiimani ili kuhalalisha adhabu ambazo mungu anasema atazitoa kwa wakosefu.Kama mungu kweli ametupa uhuru wa kuchagua mema na mabaya kwanini achikizwe na machaguo yetu,kama alikuwa hataki mabaya yafanyike aliyaumba kwa sababu gani,kwanini alimuumba binadamu ambaye anaweza kutenda mabaya ambayo yeye hayapendi.Hii dhana ya free will naipinga sana sababu ni illogic kabisa hivi kwanini mungu alimuumba shetani kama yeye anachukizwa na vitendo vyake?maswali ni mengi kuliko majibu.......Vitabu vinasema mungu anajuwa yaliyopita yaliyopo na yajayo,kama mwakani wewe au mimi nitafanya zinaa mungu anajuwa kabla hata ya kufanyika kitendo hicho,na kwa kuwa mungu anajuwa ni lazima hilo tendo nilifanye ili kuleta maana ya god is perfection tofauti na hapo mungu hatakuwa na sifa hii.Je kama nitafanya hili tendo huo mwwaka huoni kuwa sikuwa na uhuru wa kuchagua sababu my fate ilikuwa tayari existed.Binadamu hatuna freewill mungu anatuonea kwa kutupa adhabu ambazo yeye ambaye ni perfection angeweza kuziondoa since day one of creation
Sent using Jamii Forums mobile app
Umefikiri sanaafree will tuitoe wapi ??wakati tumeambiwa kuwa binaadamu anakufa kwa sababu adamu na Hawa ambao ndio binaadamu wakwanza kwa mujibu wa imani walikula tunda """
kwahiyo binaadamu wote tunaitumikia adhabu ya watu ambao hata kuwa jua hatuwajui ...na bado watu tunaimba na kumsifu Mungu anayetuadhibu kwaajili ya makosa ya watu wengine ..Mungu ambaye ndiye muweza na mjuzi wa yote. ..means alikuwa anajua fika at a muumba binaadamu na atashindwa kufuata baadhi ya sheria zake kisha akamuandalia moto aje kumchoma ...hapa waweza kuona kuwa Mungu huyu ni Mungu wa visasi kama serikali ya bakayoko ...
Je Mungu kapanga mm nitaingia motoni au peponi..?
Sio kweli bro kuwa usaliti wa Yuda ulipangwa hili jambo tatizo linajadiliwa na watu wasiokuwa na uelewa wa scriptures na theolojia kwa ujumla mpango wa Mungu ni kuwakomboa wanadamu maana Yesu alianza kuwindwa kuuwawa ata kabla Yuda hajashiriki huu mpango wa kumuuza jiulize kwenye injili ya Luka kwann Yesu anamlaumu Yuda kwa
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kesho yako unaitengeneza mwenyewe.Mkuu kila kitu nimpango wa Mungu, kama mtu huijui kesho yako kuna haja gani ya kujisifu!!
au Africa masikini coz serikali zetu dhalimu au laana kama baadhi ya watu wanavyodai??mungu kaamua tuwe hivi wenzetu wawe vile??au maamuzi yetu ndio yametufikisha hapa??
Je, unaamini Mungu ni muweza wa yote?Kesho yako unaitengeneza mwenyewe.
Kesho yako iwe mbaya au nzuri inategemea unalofanya leo.
Kama kesho yako ilishapangwa kabla, sasa kwanini uhukumiwe baadae kwa matendo yako?
Sasa huoni Mungu huwa anatutendesha dhambi makusudi kwa manufaa yake.Utashi tunao.Tumepewa utashi wa kujua baya na zuri.
Ata Yuda alikuwa na alijua amefanya vibaya kumsalitu Yesu ndio maana akajinyonga.
Je, unaamini Mungu ni muweza wa yote (Omniscient)Sio kweli bro kuwa usaliti wa Yuda ulipangwa hili jambo tatizo linajadiliwa na watu wasiokuwa na uelewa wa scriptures na theolojia kwa ujumla mpango wa Mungu ni kuwakomboa wanadamu maana Yesu alianza kuwindwa kuuwawa ata kabla Yuda hajashiriki huu mpango wa kumuuza jiulize kwenye injili ya Luka kwann Yesu anamlaumu Yuda kwa kitendo kile si angenyamaza ila mpango ukamilike Yuda kumsaiti Yesu ni matokea ya kutumia uhuru wake vibaya ( free will) ni kama wewe mfano unapoamua kutenda dhambi kuna sauti inakwambia acha nyingine fanya ukitrnda dhambi means umetumia free will vibaya maana umefanya kitu ambacho ni kinyume na free will yako
Sent from my iPhone using JamiiForums
Ndiyo ninaamini!Je, unaamini Mungu ni muweza wa yote?
Sasa kama Mungu nu muweza wa yote, mimi nawezaje kuitengeneza kesho yangu? Kwa sababu kabla sijazaliwa yeye ananijua mimi kuwa nitazaliwa na kuishi maisha ya namna fulani. Kwa hiyo kwa mazingira kama hayo, mbele ya Mungu muweza wa yote free will yangu ni illusion kwa sababu nitakuwa naona kuwa natenda kulingana na utashi wangu kumbe natimiza wajibu tu. Ili mimi niwe na utashi huru kamili ni lazima tufanye uwezo wa Mungu uwe na mipaka.Ndiyo ninaamini!
well well!Hapana unakosea bro. Wale wamchukiao ndio watapata adhabu, na ukiendelea kuusoma huo mstari ambao ww umeunukuu nusu, unamalizia hivi..... "nami nawarehemu maelfu elfu wanipendao, na kuzishika amri zangu.
Kutoka 20 :6β¦.."
Suala la adhabu kwa wamchukiao halikwepeki bro. Na kuonyesha kwamba ni mwenye upendo, rehema zake ni kwa watu wote wanaozishika amri zake. Mimi sijaona chuki au kisasi hapo