Ignas lyamuya
JF-Expert Member
- Jan 17, 2019
- 777
- 858
Niliwahi kuandika thread hapa hapa jukwaani kuhusu usaliti wa yuda kwa yesu kuwa ni tulio/kitendo kklichopangwa kabla ila yuda alikuja kukamilisha script iliyotayali lakini kwa maksudi mods waliufuta ule uzi.Katika suala la free will binadamu na viumbe wengine hicho kitu hatuna bali limewekwa kiimani ili kuhalalisha adhabu ambazo mungu anasema atazitoa kwa wakosefu.Kama mungu kweli ametupa uhuru wa kuchagua mema na mabaya kwanini achikizwe na machaguo yetu,kama alikuwa hataki mabaya yafanyike aliyaumba kwa sababu gani,kwanini alimuumba binadamu ambaye anaweza kutenda mabaya ambayo yeye hayapendi.Hii dhana ya free will naipinga sana sababu ni illogic kabisa hivi kwanini mungu alimuumba shetani kama yeye anachukizwa na vitendo vyake?maswali ni mengi kuliko majibu.......Vitabu vinasema mungu anajuwa yaliyopita yaliyopo na yajayo,kama mwakani wewe au mimi nitafanya zinaa mungu anajuwa kabla hata ya kufanyika kitendo hicho,na kwa kuwa mungu anajuwa ni lazima hilo tendo nilifanye ili kuleta maana ya god is perfection tofauti na hapo mungu hatakuwa na sifa hii.Je kama nitafanya hili tendo huo mwwaka huoni kuwa sikuwa na uhuru wa kuchagua sababu my fate ilikuwa tayari existed.Binadamu hatuna freewill mungu anatuonea kwa kutupa adhabu ambazo yeye ambaye ni perfection angeweza kuziondoa since day one of creation
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kweli bro kuwa usaliti wa Yuda ulipangwa hili jambo tatizo linajadiliwa na watu wasiokuwa na uelewa wa scriptures na theolojia kwa ujumla mpango wa Mungu ni kuwakomboa wanadamu maana Yesu alianza kuwindwa kuuwawa ata kabla Yuda hajashiriki huu mpango wa kumuuza jiulize kwenye injili ya Luka kwann Yesu anamlaumu Yuda kwa kitendo kile si angenyamaza ila mpango ukamilike Yuda kumsaiti Yesu ni matokea ya kutumia uhuru wake vibaya ( free will) ni kama wewe mfano unapoamua kutenda dhambi kuna sauti inakwambia acha nyingine fanya ukitrnda dhambi means umetumia free will vibaya maana umefanya kitu ambacho ni kinyume na free will yako
Sent from my iPhone using JamiiForums