Je wanadamu tuna FREE WILL??

ukitenda mema hufi,bible inafundisha Kuna uzima WA milele,kumbuka yesu alishinda mauti..hapa duniani tuna pumzika,baada ya ufufuo,ndio kuna kufa mazimaaa..
Rudi kwa Adam aliambiwa ukila tunda la mti huu hakika utakufa.
Je alizungumzia kifo cha kiroho? Au cha kimwili?
 
Rudi kwa Adam aliambiwa ukila tunda la mti huu hakika utakufa.
Je alizungumzia kifo cha kiroho? Au cha kimwili?
hakuna kifo cha kiroho wala kimwili,sisi sote Ni uzao WA adamu,so lazima tufe,tuzaliwe tena tukiwa watu safi..
 
Sasa hapo mkuu ndo sababu akaja KRISTO YESU,aliyamaliza na sasa kupitia yeye tutafika kwa baba,hope umenielewa
 
He, tunaweza kuamini kuwa ilishapangwa kuwa were utapata mawazo haya na kuyaandika hapa jf? Na kwamba mimi nitakuja kuandika haya niliyoandika? Jibu ni hapana!

Kila jambo lipo ndani ya uwezo wetu. Nikiamua kukutukana, ninaweza, nikiamua kukusifia ninaweza.

Hakuna nguvu inayoweza kuamua watu wage kwa ajali, kugongwa barabarani n.k. Hata kifo, hakipangwi.

Kupoteza maisha ni matokeo ya harakati katika maisha. Tunaumwa, tunapata ajali, tunajiua n.k Hili ni rahisi kulithibitisha kwa kuwa tuna wazee, walioishi hadi wanachukia kuendelea kuwepo.

Kupoteza maisha ni jambo la haraka sana kama kunywa sumu, kujipiga risasi, kutokulaa kwa muda mrefu n.k.Wazee wangaliweza tu kutumia mbinu hizi kupoteza maisha yao.

Wameendelea kuchagua kuishi..Kufika uzee, kuna juhudi, siyo kwamba imeshakubalika kuwa mzee Fulani ataishi miaka 50 kwa mfano.

Kila jambo lipo ndani ya uwezo wetu.
 
Wanadamu tunayo free will. Mungu hajatuumba kama machines, that's why japokuqa Yesu alishakufa , akafufuka na kumshinda shetani na akatuletea wokovu na kutusamehe dhambi zetu zote, lakini wokovu huu unapatikana kwa aliye tayari kuchagua kumwamini Yesu.
 
daaah hekima nyingi Sana umeshusha
 
Benedict de Spinoza katika kitabu chake cha Tractatus; Theologico-Politicus anasema Deus sive Natura akimaanisha God or Nature chapter three nanukuu "Whether we say...that all things happen according to the laws of nature, or are ordered by the decree and direction of God, we say the same thing.".
Katika chapter 3 na 4 anachotaka kutueleza ni kwamba Mungu na "Nature" acha niite asili (nimekosa kiswahili chake) ni kitu kimoja kwamba kila amuzi unalofanya na unalopitia sio kwamba umeamua kulifanya eti kisa unalipenda bali ni sababu mazingira(nature) yanakushawish ulifanye!
the infant believes that it is by free will that it seeks the breast; the angry boy believes that by free will he wishes vengeance; the timid man thinks it is with free will he seeks flight; the drunkard believes that by a free command of his mind he speaks the things which when sober he wishes he had left unsaid. … All believe that they speak by a free command of the mind, whilst, in truth, they have no power to restrain the impulse which they have to speak.″. kila unachofanya kina ushawish na mazingira uliyopo lasivyo jiulize;
  • unaweza zuia kasirika, lia, cheka?
  • Unaweza zuia kuamua, mawazo?
  • Unaweza zuia hisia zako/ zikaact tofauti na unavyoishi siku zote?
Binadamu hatuna FREE WILL
 
Free will tunayo. Bahati mbaya watu huchanganywa na maarifa ya Mungu kuujua mwisho toka mwanzo. Sio kwamba amekupangia bali ANAJUA (omniscience)
 
Mimi naona yapo Mungu amekupa uwe na will nayo na mengine katian PIN mpk yeye mwenyewe kwa kuangalia mbali sanaa... lakini kuhusu dhambi ya adam na hawa adhabu yake kutuhusu na sisi... ata maovu yetu yatakuja kucost vizazi vyetu...
Kwanin ulipe gharama kwa kosa ambalo hujalifanya?
 
Sasa hapo kuna free will gani?
Ukinipenda na kunisifu ntakubariki ila usipofata amri zangu ntakuadhibu ,what the heck hiyo si conditional love?coz unaogopa adhabu then utajilazimisha kumpenda?hivi hiz si akili level za ccm tu hiz kweli ni za Mungu huyu huyu tunaeambiwa sifa zake,
I bet there's something missing kwenye mafundisho ya dini zetu,kuna supernatural power but sio huyu Mungu ambae whites &Arabs wanam potray kwenye biblia&Quran respectively,period
 
ukitenda mema hufi,bible inafundisha Kuna uzima WA milele,kumbuka yesu alishinda mauti..hapa duniani tuna pumzika,baada ya ufufuo,ndio kuna kufa mazimaaa..
Kwa tunaish kwa majaribio?
Ili iweje na mateso yote haya afu eti tuliokolewa msalabani,sasa si tusingezaliwa baada ya yesu kufa ili tuibukie mbinguni tu bypass hizi shida
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…