Forest Hill
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 1,659
- 3,022
- Thread starter
- #61
ukitenda mema hufi,bible inafundisha Kuna uzima WA milele,kumbuka yesu alishinda mauti..hapa duniani tuna pumzika,baada ya ufufuo,ndio kuna kufa mazimaaa..Hata kifo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ukitenda mema hufi,bible inafundisha Kuna uzima WA milele,kumbuka yesu alishinda mauti..hapa duniani tuna pumzika,baada ya ufufuo,ndio kuna kufa mazimaaa..Hata kifo?
Rudi kwa Adam aliambiwa ukila tunda la mti huu hakika utakufa.ukitenda mema hufi,bible inafundisha Kuna uzima WA milele,kumbuka yesu alishinda mauti..hapa duniani tuna pumzika,baada ya ufufuo,ndio kuna kufa mazimaaa..
hakuna kifo cha kiroho wala kimwili,sisi sote Ni uzao WA adamu,so lazima tufe,tuzaliwe tena tukiwa watu safi..Rudi kwa Adam aliambiwa ukila tunda la mti huu hakika utakufa.
Je alizungumzia kifo cha kiroho? Au cha kimwili?
Sasa hapo mkuu ndo sababu akaja KRISTO YESU,aliyamaliza na sasa kupitia yeye tutafika kwa baba,hope umenielewafree will tuitoe wapi ??wakati tumeambiwa kuwa binaadamu anakufa kwa sababu adamu na Hawa ambao ndio binaadamu wakwanza kwa mujibu wa imani walikula tunda """
kwahiyo binaadamu wote tunaitumikia adhabu ya watu ambao hata kuwa jua hatuwajui ...na bado watu tunaimba na kumsifu Mungu anayetuadhibu kwaajili ya makosa ya watu wengine ..Mungu ambaye ndiye muweza na mjuzi wa yote. ..means alikuwa anajua fika at a muumba binaadamu na atashindwa kufuata baadhi ya sheria zake kisha akamuandalia moto aje kumchoma ...hapa waweza kuona kuwa Mungu huyu ni Mungu wa visasi kama serikali ya bakayoko ...
hapana sijakuelewa ""Sasa hapo mkuu ndo sababu akaja KRISTO YESU,aliyamaliza na sasa kupitia yeye tutafika kwa baba,hope umenielewa
Wanadamu tunayo free will. Mungu hajatuumba kama machines, that's why japokuqa Yesu alishakufa , akafufuka na kumshinda shetani na akatuletea wokovu na kutusamehe dhambi zetu zote, lakini wokovu huu unapatikana kwa aliye tayari kuchagua kumwamini Yesu.Habari zenu wakuu,swali Hilo linanisumbua Sana,je Ni kweli tuna uwezo WA kuamua nini cha kufanya juu ya maisha yetu??je tuna uwezo WA kuchagua wema au ubaya??sio hatma yetu imeshaamriwa kabla??nimesoma thread ya member flani akizungumzia kisa cha Yuda na Yesu,je yuda alikua na free will au tayari ishapangwa aje amsaliti yesu???..karibuni..
daaah hekima nyingi Sana umeshushaHe, tunaweza kuamini kuwa ilishapangwa kuwa were utapata mawazo haya na kuyaandika hapa jf? Na kwamba mimi nitakuja kuandika haya niliyoandika? Jibu ni hapana!
Kila jambo lipo ndani ya uwezo wetu. Nikiamua kukutukana, ninaweza, nikiamua kukusifia ninaweza.
Hakuna nguvu inayoweza kuamua watu wage kwa ajali, kugongwa barabarani n.k. Hata kifo, hakipangwi.
Kupoteza maisha ni matokeo ya harakati katika maisha. Tunaumwa, tunapata ajali, tunajiua n.k Hili ni rahisi kulithibitisha kwa kuwa tuna wazee, walioishi hadi wanachukia kuendelea kuwepo.
Kupoteza maisha ni jambo la haraka sana kama kunywa sumu, kujipiga risasi, kutokulaa kwa muda mrefu n.k.Wazee wangaliweza tu kutumia mbinu hizi kupoteza maisha yao.
Wameendelea kuchagua kuishi..Kufika uzee, kuna juhudi, siyo kwamba imeshakubalika kuwa mzee Fulani ataishi miaka 50 kwa mfano.
Kila jambo lipo ndani ya uwezo wetu.
Benedict de Spinoza katika kitabu chake cha Tractatus; Theologico-Politicus anasema Deus sive Natura akimaanisha God or Nature chapter three nanukuu "Whether we say...that all things happen according to the laws of nature, or are ordered by the decree and direction of God, we say the same thing.".Habari zenu wakuu,swali Hilo linanisumbua Sana,je Ni kweli tuna uwezo WA kuamua nini cha kufanya juu ya maisha yetu??je tuna uwezo WA kuchagua wema au ubaya??sio hatma yetu imeshaamriwa kabla??nimesoma thread ya member flani akizungumzia kisa cha Yuda na Yesu,je yuda alikua na free will au tayari ishapangwa aje amsaliti yesu???..karibuni..
Sijui Mekuu yaani Mimi mwenyewe hata sielewiKwann kuumba wabaya?
Kwa kifo naweza sema ndio coz kuna vifo vya mapema vya kabla ya mda.....Hata kifo?
We nawe ya nchi yamekujaje hapa?!Kama unafuata Sheria za nchi.... Huna maamuzi huru
Ha haha wacha kumtisha mwenzio banaAlishapanga kitambo tu!!
Kwanin ulipe gharama kwa kosa ambalo hujalifanya?Mimi naona yapo Mungu amekupa uwe na will nayo na mengine katian PIN mpk yeye mwenyewe kwa kuangalia mbali sanaa... lakini kuhusu dhambi ya adam na hawa adhabu yake kutuhusu na sisi... ata maovu yetu yatakuja kucost vizazi vyetu...
Sasa hapo kuna free will gani?Hapana unakosea bro. Wale wamchukiao ndio watapata adhabu, na ukiendelea kuusoma huo mstari ambao ww umeunukuu nusu, unamalizia hivi..... "nami nawarehemu maelfu elfu wanipendao, na kuzishika amri zangu.
Kutoka 20 :6….."
Suala la adhabu kwa wamchukiao halikwepeki bro. Na kuonyesha kwamba ni mwenye upendo, rehema zake ni kwa watu wote wanaozishika amri zake. Mimi sijaona chuki au kisasi hapo
Kwa tunaish kwa majaribio?ukitenda mema hufi,bible inafundisha Kuna uzima WA milele,kumbuka yesu alishinda mauti..hapa duniani tuna pumzika,baada ya ufufuo,ndio kuna kufa mazimaaa..