Mtalingolo
JF-Expert Member
- Aug 4, 2011
- 2,181
- 410
Duh! umeniwahi Arifu lakini wacha nimalizie,je wajua mkeo uwa anakuchit unapokuwa kazini!?
Je wajua kua njiwa hutaga mayai mawili tu ambayo watoto watao totolewa ndo mke na mume wa baadae na hawawez kutoka nje ya kizazi chao?
Je wajua kuwa hujui kuwa hujui kuwa hujui.
Je unajua kifaru ni mnyama pekee anaezaa mara moja ktk maisha yake yote.
je wajua mkeo uwa anakuchit unapokuwa kazini!?
je wajua we unayesoma hapa sahv kama ni mwanaume mm huwa n spea tairi wa dem/mke wako!