Je wajua

Je wajua

Diason David

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2018
Posts
7,554
Reaction score
7,386
IMG-20190224-WA0026.jpeg
IMG-20190224-WA0025.jpeg
IMG-20190224-WA0024.jpeg
IMG-20190224-WA0023.jpeg
IMG-20190224-WA0022.jpeg
IMG-20190224-WA0021.jpeg
IMG-20190224-WA0020.jpeg
 
hapo kwenye kulipwa million 50 kwa kila neno, si ilibidi anord aongeze maneno ambayo hayapo kwenye script ili mpunga uwe mrefu. Ila wabongo kwa kufungana kamba tu hatujambo.
 
Hiyo ya mwisho kama ni kweli Hongera kwao hao Wahindi.

Pia niwape pongezi sababu lile somo la Uvumilivu itakuwa kwao Me kwa Ke wanaliweza kwa 100% sababu hilo ndio huwa linawashinda wengi
 
[emoji3][emoji3][emoji3] Aiseeee.

Inatakiwa wajue wanawavuruga wadada wa watu kwani wenzao wanajua fursa ya kuwa na ndoa zao imepatikana kumbe wao wanaangalia Viwango [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ila umejua kunichekesha[emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji1787][emoji1787]
IMG-20190226-WA0009.jpeg

Huyu jamaa alikua anaangalia kiwango akajikuta anapigwa limbwata,akarudi kwa wife kuomba.msaada
 
Kupima uzito na thamani ya kupendwa na kuhudumiwa najua umeshaolewa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom