Je, wajua Wakristo huwasindikiza Waislamu Kufunga Ramadhan? Leo ni Jumatano ya Majivu, Wakristo tutafunga siku 40, vipi Waislamu Mtatusindikiza?

QURAN IMEANDIKWA NA SHETANI MPINGA KRISTO NA NABII WA UONGO.

QURAN 2:97 - Sema: Aliye kuwa ni adui wa Jibril, basi huyo ndiye aliye iteremsha Qur'ani moyoni mwako kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, inayo thibitisha yaliyo kuwa kabla yake, na ni uwongofu na bishara njema kwa Waumini.

ADUI WA MALAIKA WA MUNGU NDIE ALIYEITEREMSHA QURAN

1.JE ADUI WA MALAIKA WA MUNGU ATAKUWA NANI?????

2. JE ADUI WA MUNGU NI NANI????

JIBU NI SHETANI.

SITAMANI WAKRISTO JIJIFANANISHE NA HILO SHIMO LA KUZIMU UFUNUO 9.
 
WAISLAMU HAWAFUNGI WANABADIRI RATIBA YA KULA.


Kwamfano:
ukiwa na mtoto anasoma.
Anakwenda shule Asubuhi Hadi jioni.
Saa Moja ASUBUHI Hadi kumi na moja jioni.

ALAFU WAKABADIRI RATIBA.
akaanza kwenda shule saa Moja jioni Hadi saa kumi na moja alfajiri.

INAMAANA WATAKUWA WAMEFUNGA SHILE AU WAMEBADILI RATIBA.

OLE WAO WAGEUZAO USIKU KUWA MCHANA.
 
tutakisindikiza motoni jahhanam tukifika mlangoni sisi tunarudi huko ndiko makazi yenu
 
Wanabodi

Hili ni bandiko la swali kuwa

Je, wajua kuwa sisi Wakristo huwa tunanawasindikizaga ndugu zetu Waislamu kufunga swaumu wakati wa mwezi mtukufu wa Ramadan? Leo ni Jumatano ya Majivu, Wakristo tunaanza safari ya kufunga kwa siku 40, vipi nyie wenzetu Waislamu, je mtatusindikiza kama ambavyo sisi tunavyo wasindikizaga?​


Vipi ndugu zetu Waislamu, sisi ndugu zenu wa baba mmoja Wakristo leo tumeanza mfungo wa Kwaresma ambapo tunafunga siku 40, vipi mtatusikiziza kama sisi tunavyowasindikizaga?

Nakutakia Kwaresma Njema.

Paskali.
Pasaka ya mwaka huu ni Pasaka ya kichoyo choyo, inasherehekewa na Wakristo tuu, labda na ma Kobe!.

Nawatakia Pasaka Njema
P
 
Pasaka ya mwaka huu ni Pasaka ya kichoyo choyo, inasherehekewa na Wakristo tuu, labda na ma Kobe!.

Nawatakia Pasaka Njema
P
Siku ina milo 3.
1. Chakula cha asubuhi (breakfast)
2. Chakula cha mchana (Lunch)
3. Chakula cha usiku (Dinner).
Mkristo anakula mara moja yaani ni kama saa 12 au saa 1 usiku mpk kesho haijalishi amekula nini.
Muislamu anakula saa 1 usiku, saa 5 usiku na saa 10 alfajiri. Sasa hapo anabadili masaa ya chakula tu baada ya mchana, anakula usiku.
Kati Mkristo na Muislamu ni nani anayefunga?
 
Back
Top Bottom