Je, wajua kwamba uchawi huvaliwa kama nguo?

Ni Nguvu ipi kati ya hizo inamzidi mwenzie uwezo?, Yaani aliye open third eye (ila sio mchawi) na brigedia/ boss wa wachawi ila haja open third eye wakishindana ni yupi atatoka kidedea?
Third eye haina madhara japo ina uwezo wa kukinga mashambulizi.. Hiyo nyingine asili yake ni kudhuru na kuharibu
 
mshana naskia mchawi hajitaji kwa watu maana hataki kujulikana ila kwanini wewe unajitaja kuwa ni mchawi? na vipi unaweza kumfundisha mtu uchawi kama akiwa anautaka kwa manufaa yake?
 
Kulikoni Mimi?
Nimekuwa na changamoto katika maisha yangu na familia yangu.
mshana naskia mchawi hajitaji kwa watu maana hataki kujulikana ila kwanini wewe unajitaja kuwa ni mchawi? na vipi unaweza kumfundisha mtu uchawi kama akiwa anautaka kwa manufaa yake?
Sina lengo la kujitangaza, Ila kuomba ushauri wake ili nipate ufumbuzi wa tatizo langu hilo
 
Hivi mkuu ni kwa nini kuna baadhi ya watu huwa tunakuwa marafiki sana lakini nikichunguza naambiwa ni wachawi?Wamekuwa wengi hadi napata hofu.
NB:Awali huwa sijui kama Wana tabia za ulozi.
 
Shekh nimeomba ushauri jamvini na tumekuita hujaitika kulikoni!
 
Back
Top Bottom