digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 7,896
- 14,357
Jongoo wamegawanyika katika makundi makuu mawili ambayo ni wenye sumu na wasiokuwa na sumu,
Lakini kwa asilimia kubwa sana jongoo ana sumu tena mbaya sana inayojulikana kama Hydrogen Cyanide Gas ambayo iko kama kimiminika fulani hivi, na mara nyingi hukitoa kwaajili ya kujilinda na adui wake pale anapoguswa utaona anajikunja na kumwaga maji haya (unaweza ukadhani anakunya) lakini ndio self defence yake huyu mdudu. Sumu hii ina madhara makubwa sana kwa mwanadamu pale anapoigusa kama vile maumivu ya mbaaaaali au makali sana au hata kuwashwa na pia kubabua ngozi kama MTU aliyeunguzwa maji moto
Lakini sumu hii huwa hatari sana ikiwa itaingia tumboni mwa binadamu kwani inaweza kuua kwa muda mchache sana
Jongoo huwa hatari zaidi kwa watoto wanaotambaa kwani kwani wao huwachezea pasina kujua, hivyo wazazi tuwe makini katika kipindi hiki cha mvua kwani jongoo huongezeka sana.
Mara nyingi jongoo wa aina hii ndo hatari sana, hawapaswi kubughudhiwa hata kidogo>>>>>>
>>>>
<<<<<<<
Asanteni na Mungu awabariki sana