Je, wajua kuwa jongoo anao uwezo wa kudhuru afya yako,au hata kuua?

Dheni ndio nini we msukule wa CCM
Asante Mkuu, binafsi mimi huwa sioni haja ya kumtukana mtu nisiyemjua, tatzo nini Mkuu, nimekukosea wapi, katika mada nzima umeona neno dheni tu? Nisamehe kama nimekukwaza mpendwa wangu, maisha ni mafupi lazima tuishi kwa upendo, na by the way mimi sijasema kuwa ni mfuasi wa CCM au CHADUMA, nisamehe mpendwa wangu
 
Mkuu umekiri kuwa jongoo anaHCNG, nami nashukuru kwa hilo, hebu naomba ulete madhara ya hiyo gasi kwa binadamu, na ukumbuke kuwa so jongoo wote wana sumu, na hata kama utampata mwenye sumu jua kuna utofauti kulingana na mazingira alipo Huyo jongoo
Kaka soma hiyo link nilokutumia utangundua mengi sana, inafikia kiwango hiyo cyanide yenyewe inayokutisha kwenye jongoo ndio "dawa" yenyewe sasa. Soma tu hiyo paper mpaka mwisho, utakuta ".... and that sublethal cyanide ingestion may enhance human innate resistance to malaria, suggests promising ethnomedical perspectives to our findings." Pia baadhi ya mimea tunayoitumia kama mboga ina hiyo cyanide
 
Sawa mkuu
 
Asante Mkuu, binafsi mimi huwa sioni haja ya kumtukana mtu nisiyemjua, tatzo nini Mkuu, nimekukosea wapi, katika mada nzima umeona neno dheni tu? Nisamehe kama nimekukwaza mpendwa wangu, maisha ni mafupi lazima tuishi kwa upendo, na by the way mimi sijasema kuwa ni mfuasi wa CCM au CHADUMA, nisamehe mpendwa wangu

We ulivyomshambulia yule kuwa anakujibu kama bavicha
 
Yup, ni kweli kuna jamii za jongoo ambao wanatoa sumu kali kujilinda, japo utafiti bado ni mchanga, kwa maelezo mazuri tafuta ripoti ya research ya prof. William Shear wa Hampden-Sedney college, Virginia US.
wewe unaesema uliandikia nini sijui ukiwa A-level acha akili za kitoto, mtoto wa A-level anajua nini??
 
Mkuu kuunga mkono kitu bila kujiridhisha ni kubaya sana, nimesoma thread ya jamaa nikawa moved nikataka tu kuunga mkono hoja na kushare na wengine, ila hii kauli yako ya mwisho imenifanya ni google, labda jamaa kamfananisha na centipede (tandu), jongoo (millipedes) kasingiziwa tu jamani
nimekutana na huu uzi baada ya kutafuta madhara ya jongoo kwa binadamu ili nimsaidie mwanangu,napenda kukujulisha tu ndugu jongoo anasumu sio nime ila ninamshuhudia mwanangu wa mwaka mmoja amepata madhara hadi sasa anajikuna na vimemtoka vidonda kama vya moto ,alikuwa amemshika jongoo akijaribu kumla bahati nzuri jongoo alikuwa anajipindapinda akawa anashindwa kumuweka mdomoni nikawahi kumpora na kumtupa kwa siku hiyo nilidharau maana mala ya kwanza nimeshawahi mkuta anamalizia kula kipande cha vile vijongoo vidogo ni kampora, kwa huyu mkubwa kwasababu nikajua ajamla nikaona aina shida lakini alipofika kesho yake vikaanza vipele na alikuwa anajikuna sahizi vipo kama vidonda sehemu za mdomo na mkono aliokuwa ammemshikiaa na jana nimemuangalia naona vinapanda kwenye mashavu,mtoa mada na yeyote anayejua naomba mnisaidie tiba kwa mtu aliyezulika nimempeleka hospital wamempa amoxyline na cetrizene ndiyo nasikilizia ameanza jana.nisaidieni.
 
Inafanana na zile za kinyonga akikuuma haachii mpaka shangazi yako aje amtoe, jongoo tumewacheze mno lakini hatukudhurika.
 
Back
Top Bottom