Je, wajua kuwa jongoo anao uwezo wa kudhuru afya yako,au hata kuua?

digba sowey

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
4,734
2,000
Jongoo wamegawanyika katika makundi makuu mawili ambayo ni wenye sumu na wasiokuwa na sumu,

Lakini kwa asilimia kubwa sana jongoo ana sumu tena mbaya sana inayojulikana kama Hydrogen Cyanide Gas ambayo iko kama kimiminika fulani hivi, na mara nyingi hukitoa kwaajili ya kujilinda na adui wake pale anapoguswa utaona anajikunja na kumwaga maji haya (unaweza ukadhani anakunya) lakini ndio self defence yake huyu mdudu. Sumu hii ina madhara makubwa sana kwa mwanadamu pale anapoigusa kama vile maumivu ya mbaaaaali au makali sana au hata kuwashwa na pia kubabua ngozi kama MTU aliyeunguzwa maji moto

Lakini sumu hii huwa hatari sana ikiwa itaingia tumboni mwa binadamu kwani inaweza kuua kwa muda mchache sana

Jongoo huwa hatari zaidi kwa watoto wanaotambaa kwani kwani wao huwachezea pasina kujua, hivyo wazazi tuwe makini katika kipindi hiki cha mvua kwani jongoo huongezeka sana.

Mara nyingi jongoo wa aina hii ndo hatari sana, hawapaswi kubughudhiwa hata kidogo>>>>>>
>>>>
<<<<<<<

Asanteni na Mungu awabariki sana
 
donniebrasco

JF-Expert Member
Aug 8, 2013
891
1,000
Tandu anayo sumu na alichokisema kuhusu jongoo kipo ni kuhusu kujihami kwake unaweza kuwashwa nk lakini siyo SUMU,
SOURCE mbili tatu nilizopitia haraka haraka wamesema ni HARMLESS kwa binaadamu.

MACHO HANA NA BADO KUMSINGIZIA HAMUOGOPI WABONGO BANAAA.
 
Hebu Google tens mkuuu
 
donniebrasco

JF-Expert Member
Aug 8, 2013
891
1,000
Mkuu pinga kwa hoja, usiwe kama Bavicha, hebu mtafute jongoo kama Hugo kwenye picha dheni mchezee harafu mgusishe kwenye ngoZi yako ili urete mrejesho mzuri hapa
Dogo tulia nimeandika essay ya jongoo A-Level na namjua ndani alivyo kinoma noma ndio maana nlivyoona mada yako nikaona labda inawezekana nimeshapitia sehemu mbili tatu fasta nikaona WASIWASI WANGU juu ya uongo wako was right.

Halafu pia jifunze kuandika au kuonesha source yako mwanzoni.
 
Zabron Hamis

Verified Member
Dec 19, 2016
3,227
2,000
Mkuu pinga kwa hoja, usiwe kama Bavicha, hebu mtafute jongoo kama Hugo kwenye picha dheni mchezee harafu mgusishe kwenye ngoZi yako ili urete mrejesho mzuri hapa
Hukuwa na haja ya kusema bavicha wala nini. Nawewe ungejibu kwa hoja. Wakati mwingine tunakua na hoja za msingi ila tunaonekana wapuuzi kwa kuingiza siasa kila kona
 
Muyobhyo

JF-Expert Member
Oct 9, 2014
8,162
2,000
Jongoo wamegawanyika katika makundi makuu mawili ambayo ni wenye sumu na wasiokuwa na sumu,

Lakini kwa asilimia kubwa sana jongoo ana sumu tena mbaya sana inayojulikana kama Hydrogen Cyanide Gas ambayo iko kama kimiminika fulani hivi, na mara nyingi hukitoa kwaajili ya kujilinda na adui wake pale anapoguswa utaona anajikunja na kumwaga maji haya (unaweza ukadhani anakunya) lakini ndio self defence yake huyu mdudu. Sumu hii ina madhara makubwa sana kwa mwanadamu pale anapoigusa kama vile maumivu ya mbaaaaali au makali sana au hata kuwashwa na pia kubabua ngozi kama MTU aliyeunguzwa maji moto

Lakini sumu hii huwa hatari sana ikiwa itaingia tumboni mwa binadamu kwani inaweza kuua kwa muda mchache sana

Jongoo huwa hatari zaidi kwa watoto wanaotambaa kwani kwani wao huwachezea pasina kujua, hivyo wazazi tuwe makini katika kipindi hiki cha mvua kwani jongoo huongezeka sana.

Mara nyingi jongoo wa aina hii ndo hatari sana, hawapaswi kubughudhiwa hata kidogo>>>>>>
>>>>
<<<<<<<

Asanteni na Mungu awabariki sana
Kakaa kama rangi ya cyanide
 
digba sowey

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
4,734
2,000
Dogo tulia nimeandika essay ya jongoo A-Level wewe na namjua ndani alivyo kinoma noma ndio maana nlivyoona mada yako nikaona labda inawezekana nimeshapitia sehemu mbili tatu fasta nikaona WASIWASI WANGU juu ya uongo wako was right.
OK sawa, wewe unaongelea A level, Mimi naongelea taaluma hapa
 
MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Nov 28, 2015
28,762
2,000
Jongoo wamegawanyika katika makundi makuu mawili ambayo ni wenye sumu na wasiokuwa na sumu,

Lakini kwa asilimia kubwa sana jongoo ana sumu tena mbaya sana inayojulikana kama Hydrogen Cyanide Gas ambayo iko kama kimiminika fulani hivi, na mara nyingi hukitoa kwaajili ya kujilinda na adui wake pale anapoguswa utaona anajikunja na kumwaga maji haya (unaweza ukadhani anakunya) lakini ndio self defence yake huyu mdudu. Sumu hii ina madhara makubwa sana kwa mwanadamu pale anapoigusa kama vile maumivu ya mbaaaaali au makali sana au hata kuwashwa na pia kubabua ngozi kama MTU aliyeunguzwa maji moto

Lakini sumu hii huwa hatari sana ikiwa itaingia tumboni mwa binadamu kwani inaweza kuua kwa muda mchache sana

Jongoo huwa hatari zaidi kwa watoto wanaotambaa kwani kwani wao huwachezea pasina kujua, hivyo wazazi tuwe makini katika kipindi hiki cha mvua kwani jongoo huongezeka sana.

Mara nyingi jongoo wa aina hii ndo hatari sana, hawapaswi kubughudhiwa hata kidogo>>>>>>
>>>>
<<<<<<<

Asanteni na Mungu awabariki sana
Jongoo Pombe Makinikia ndiyo wa hatari sana, huyu anapatikana kolomije tu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom