Je, wajua kuwa jongoo anao uwezo wa kudhuru afya yako,au hata kuua?

kweli umepona
hadi mood yakupost UZI unayo...

ASANTE KWA HII ELIMU ..daaah hill lilinipita kushoto kabisa ..sikuwahi kulijua hapo awali...
ila mimi binafsi jongoo nawapnda mnoo sababu kuu niule upole wao
Mkuu sa ivi kuna ka unafuu kidogo, namwombaa mungu nilejeree afya yangu
 
Rejea utafiti wako au pale uliposoma. Jongoo hutoa majimaji yenye harufu kali kujikinga na adui. Majimaji haya huitwa hydrochloric acid ambayo yaweza kuchubua ngozi.

Kama yataingia mdomoni, kama zilivyo acid zote, ukiimeza hiyo itakuchubua mdomoni na kooni na ukapata naumivu makali sehemu hizo na tumboni. Matibabu ya haraka yatakurejesha kwenye hali ya afya ya kawaida.
Asante Mkuu, nakuretea hizo sumu alizonazo Jongoo, ila nashukuru kwa kukubali kuwa jongoo ana madhara
 
Ningekuwa nimeshafariki kitambo, maana simulizi za wazazi wangu ni kwamba nilipokuwa natambaa kwa wiki mama alitapika mara 2 kufuatia shughuli niliyokuwa nampa kwa kutoa vipande vipande vya mabaki ya jongoo kinywani mwangu
Si jongoo wote wanasumu mkuu
 
Jongoo wamegawanyika katika makundi makuu mawili ambayo ni wenye sumu na wasiokuwa na sumu,

Lakini kwa asilimia kubwa sana jongoo ana sumu tena mbaya sana inayojulikana kama Hydrogen Cyanide Gas ambayo iko kama kimiminika fulani hivi, na mara nyingi hukitoa kwaajili ya kujilinda na adui wake pale anapoguswa utaona anajikunja na kumwaga maji haya (unaweza ukadhani anakunya) lakini ndio self defence yake huyu mdudu. Sumu hii ina madhara makubwa sana kwa mwanadamu pale anapoigusa kama vile maumivu ya mbaaaaali au makali sana au hata kuwashwa na pia kubabua ngozi kama MTU aliyeunguzwa maji moto

Lakini sumu hii huwa hatari sana ikiwa itaingia tumboni mwa binadamu kwani inaweza kuua kwa muda mchache sana

Jongoo huwa hatari zaidi kwa watoto wanaotambaa kwani kwani wao huwachezea pasina kujua, hivyo wazazi tuwe makini katika kipindi hiki cha mvua kwani jongoo huongezeka sana.

Mara nyingi jongoo wa aina hii ndo hatari sana, hawapaswi kubughudhiwa hata kidogo>>>>>>
a81892d83e1785c0cdba6bcf62f3d50d.jpg
>>>>
64bce0b3da62ac1a68a47a96c19428b4.jpg
<<<<<<<

Asanteni na Mungu awabariki sana
 
Asante mkuu kwa elimu. Jambo usilolijua ni kama usiku wa giza. Kuna mwaka nilikuwa ktk pori fulani tunachimba mawe kiwiziwizi, basi pori lilikuwa na jongoo wengi sn, nilichokuwa nafanya nikimuona jongoo nilikuwa namuokota kwa mti na kumuwekea jamaa mmoja ktk mfuko wake wa jeans na baadae kumwambia nimemuona jangoo akiingia mfukoni mwake, jamaa alikuwa akiwatoa kwa mkono ghafla na kuwatupa mbali. Kumbe ningeweza kumuumiza.
 
No kweli lakini sio jongoo wote wako na madhara, ni baadhi tu Mkuu, ila tahadhari ni nzuri
 
Kuna kaka alikuwa ananielezea jinsi mdogo wake wa mwisho alivyo fariki baada ya kula jongoo aliyekuwa akimchezea. Pamoja na kwamba walimuwahisha hospitali lkn hawakufanikiwa kuokoa maisha yake. Wazazi tuwe makini...
 
Soma vizuri pale kwenye VENOMOUS=POISONOUS
Millipedes are generally HARMLESS TO HUMANS

Hata wewe unaweza kujihami kwa NGUMI lakini haitokuwa SUMU.

kwa heri mkuu ukiwa na jipya utaleta hapa naona we ndio unatapatapa

Hpn sio kweli hata siamini jogoo nimewachezea sana utotoni na mpaka huwa na wakamata kwa mikono au kupiga mateke sana kuwatupa nikiwakuta ndani au kwenye maharage

Rejea utafiti wako au pale uliposoma. Jongoo hutoa majimaji yenye harufu kali kujikinga na adui. Majimaji haya huitwa hydrochloric acid ambayo yaweza kuchubua ngozi.

Kama yataingia mdomoni, kama zilivyo acid zote, ukiimeza hiyo itakuchubua mdomoni na kooni na ukapata naumivu makali sehemu hizo na tumboni. Matibabu ya haraka yatakurejesha kwenye hali ya afya ya kawaida.
Pita hapa mpate huu ushuhuda wapendwa
Kuna kaka alikuwa ananielezea jinsi mdogo wake wa mwisho alivyo fariki baada ya kula jongoo aliyekuwa akimchezea. Pamoja na kwamba walimuwahisha hospitali lkn hawakufanikiwa kuokoa maisha yake. Wazazi tuwe makini...
Asante Mkuu kwa ushuhuda, watu wengi wamepinga kuwa jongoo hana sumu hebu waeleweshe
 
Kuna kaka alikuwa ananielezea jinsi mdogo wake wa mwisho alivyo fariki baada ya kula jongoo aliyekuwa akimchezea. Pamoja na kwamba walimuwahisha hospitali lkn hawakufanikiwa kuokoa maisha yake. Wazazi tuwe makini...
Mkuu Mimi kwa macho yangu nilimchezea jongoo kwa kumrusha rusha kama dakika tank hivi halafu baada ya hapo nikamrushia mbwa kitoto kidogo nacho pasina kujua kikakiweka mdomoni, amini mbwa aligaragara kama kaunguzwa moto baadae akaanza kutoa povu mdomoni na kuzimia, Mimi nilidhani kafa, akipozinduka mdomo wore ulivimba na kubabuka kama kaunguzwa maji moto, kwa asiyejua anaweza sema jongoo hana madhara
 
Jongoo wamegawanyika katika makundi makuu mawili ambayo ni wenye sumu na wasiokuwa na sumu,

Lakini kwa asilimia kubwa sana jongoo ana sumu tena mbaya sana inayojulikana kama Hydrogen Cyanide Gas ambayo iko kama kimiminika fulani hivi, na mara nyingi hukitoa kwaajili ya kujilinda na adui wake pale anapoguswa utaona anajikunja na kumwaga maji haya (unaweza ukadhani anakunya) lakini ndio self defence yake huyu mdudu. Sumu hii ina madhara makubwa sana kwa mwanadamu pale anapoigusa kama vile maumivu ya mbaaaaali au makali sana au hata kuwashwa na pia kubabua ngozi kama MTU aliyeunguzwa maji moto

Lakini sumu hii huwa hatari sana ikiwa itaingia tumboni mwa binadamu kwani inaweza kuua kwa muda mchache sana

Jongoo huwa hatari zaidi kwa watoto wanaotambaa kwani kwani wao huwachezea pasina kujua, hivyo wazazi tuwe makini katika kipindi hiki cha mvua kwani jongoo huongezeka sana.

Mara nyingi jongoo wa aina hii ndo hatari sana, hawapaswi kubughudhiwa hata kidogo>>>>>>
a81892d83e1785c0cdba6bcf62f3d50d.jpg
>>>>
64bce0b3da62ac1a68a47a96c19428b4.jpg
<<<<<<<

Asanteni na Mungu awabariki sana
Mkuu umedanganya sana.Jongoo wako aina nyingi na kwa ajumla wengi hawana madhara kwa mwanadamu.Wapo wachache sana ambao wanatoa Hydrogen Cyanide,ambayo hata hivyo wanaitoa mara chache sana kwa kuwa it takes almost 4 months to replenish baada ya kutumia.Millipedes walio wengi hawana madhara na wachache wengine wanatoa secretions ambazo zinaweza kukufanya uwashwe kidogo,lakini ukijiosha na maji muwasho unaisha.Usitishe watu saana mkuu.Wanaotaka taarifa zaidi wa-google "Millipede-Wikipedia."
 
Back
Top Bottom