digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 7,889
- 14,332
- Thread starter
- #21
Hebu fuatilia Mkuu, halafu urudi hapa na upinge kwa hojaGoogle haina majibu wala maelezo mi huwa naingia kwenye website husika moja kwa moja.
Hebu fuatilia Mkuu, halafu urudi hapa na upinge kwa hojaGoogle haina majibu wala maelezo mi huwa naingia kwenye website husika moja kwa moja.
Soma vizuri pale kwenye VENOMOUS=POISONOUSHapo amesema hawaumi, Mimi nimeongerea maji watoayo kujihami
Na mwalimu Ngui au Mwangoka?Nimewadissect sana nikiwa mkwawa enzi zile ni high school
Usipime mkuu enzi za baba kadoda na mbabe mwaipaja, mwangoka alikuwa ananiavha hoi, hata kiwe na baridi vipi kuvaa sweta mwiko, yeye na uji uji wake, enzi za andazi la mama uswege na marehemu nelkonNa mwalimu Ngui au Mwangoka?
Kipofu au scopion?Tandu anayo sumu na alichokisema kuhusu jongoo kipo ni kuhusu kujihami kwake unaweza kuwashwa nk lakini siyo SUMU,
SOURCE mbili tatu nilizopitia haraka haraka wamesema ni HARMLESS kwa binaadamu.
MACHO HANA NA BADO KUMSINGIZIA HAMUOGOPI WABONGO BANAAA.
Huyu jamaa ni Mpuuzi anajifanya mjuaji hana lolote hakuna mahusiano yoyote ya mada yake na Bavicha!Hukuwa na haja ya kusema bavicha wala nini. Nawewe ungejibu kwa hoja. Wakati mwingine tunakua na hoja za msingi ila tunaonekana wapuuzi kwa kuingiza siasa kila kona
Hapo umechemka mkuu,kwa hiyo Uvccm huwa wanapinga kwa hoja,unaingiza siasa pasipo stahil siasa,kumbe na wewe ni wale wale,kwa hiyo usingetaja Bavicha usingeeleweka au ndiyo kitu unachokifikria muda wote maishani mwakoMkuu pinga kwa hoja, usiwe kama Bavicha, hebu mtafute jongoo kama Hugo kwenye picha dheni mchezee harafu mgusishe kwenye ngoZi yako ili urete mrejesho mzuri hapa
Nimecheka sana. Na bado nimejifunza kitu. Wanadamu tuna Chuki sana.Tandu anayo sumu na alichokisema kuhusu jongoo kipo ni kuhusu kujihami kwake unaweza kuwashwa nk lakini siyo SUMU,
SOURCE mbili tatu nilizopitia haraka haraka wamesema ni HARMLESS kwa binaadamu.
MACHO HANA NA BADO KUMSINGIZIA HAMUOGOPI WABONGO BANAAA.
Unapenda kunyonya?Hiyo kwetu chakula!!! Tena tami zaidi akiwa mbichi... Unamvunja na kunyona ile juice yake
Mmmh!Unapenda kunyonya?
Rejea utafiti wako au pale uliposoma. Jongoo hutoa majimaji yenye harufu kali kujikinga na adui. Majimaji haya huitwa hydrochloric acid ambayo yaweza kuchubua ngozi.Jongoo wamegawanyika katika makundi makuu mawili...
...
Lakini kwa asilimia kubwa sana jongoo ana sumu tena mbaya sana inayojulikana kama Hydrogen Cyanide Gas ambayo iko kama kimiminika fulani hivi, na mara nyingi hukitoa kwaajili ya kujilinda na adui wake pale anapoguswa utaona anajikunja na kumwaga maji haya (unaweza ukadhani anakunya) lakini ndio self defence yake huyu mdudu. Sumu hii ina madhara makubwa sana kwa mwanadamu pale anapoigusa kama vile maumivu ya mbaaaaali au makali sana au hata kuwashwa na pia kubabua ngozi kama MTU aliyeunguzwa maji moto .....
Huyo ni jongoo (millipede):Jongoo wamegawanyika katika makundi makuu mawili ambayo ni wenye sumu na wasiokuwa na sumu,
Lakini kwa asilimia kubwa sana jongoo ana sumu tena mbaya sana inayojulikana kama Hydrogen Cyanide Gas ambayo iko kama kimiminika fulani hivi, na mara nyingi hukitoa kwaajili ya kujilinda na adui wake pale anapoguswa utaona anajikunja na kumwaga maji haya (unaweza ukadhani anakunya) lakini ndio self defence yake huyu mdudu. Sumu hii ina madhara makubwa sana kwa mwanadamu pale anapoigusa kama vile maumivu ya mbaaaaali au makali sana au hata kuwashwa na pia kubabua ngozi kama MTU aliyeunguzwa maji moto
Lakini sumu hii huwa hatari sana ikiwa itaingia tumboni mwa binadamu kwani inaweza kuua kwa muda mchache sana
Jongoo huwa hatari zaidi kwa watoto wanaotambaa kwani kwani wao huwachezea pasina kujua, hivyo wazazi tuwe makini katika kipindi hiki cha mvua kwani jongoo huongezeka sana.
Mara nyingi jongoo wa aina hii ndo hatari sana, hawapaswi kubughudhiwa hata kidogo>>>>>>
>>>><<<<<<<
Asanteni na Mungu awabariki sana
Ujuaji wangu uko wapi Mkuu!? Unagombana na MTU usiyemjua? By the way nimekuomba msamaha kama nimekuudhi! Nisamehe, sina ujuaji wala upuuzi unaousemaHuyu jamaa ni Mpuuzi anajifanya mjuaji hana lolote hakuna mahusiano yoyote ya mada yake na Bavicha!