Je, wajua haya kuhusu Ukraine?

Je, wajua haya kuhusu Ukraine?

Asante kwa info mkuu… mbona tunaambiwaga manchi yote ya ikiyokuwa urusi ya kisovieti yamechoka sana?
 
Aise ngoja nitafute nauli nije huko.....

Nikifika uje kunipokea airport mkuu....

[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Asante kwa info mkuu… mbona tunaambiwaga manchi yote ya ikiyokuwa urusi ya kisovieti yamechoka sana?
Wahongo hao, hujui uchumi wa Ukraine unazidi Wa Nigeria na south Africa? Sisemi makusanyo nasema uchumi

Ukibase kwenye
Per capita
PPP
Isipo kuwa GDP ndo iko chini ya.nchi hizo

Alafu makusanyo.ya Ukraine GDP ni mara tatu ya Tanzania yaan 196 trillion, wakati east Africa ni 179 almost

Ukraine GDP per capita PPP 398 billion USD
The Gross Domestic Product per capita in Ukraine was last recorded at 7668.06 US dollars in 2016, when adjusted by purchasing power parity (PPP). The GDP per Capita, in Ukraine, when adjusted by Purchasing Power Parity is equivalent to 43 percent of the world's average. GDP per capita PPP in Ukraine averaged 7025.13 USD from 1990 until 2016, reaching an all time high of 10463.96 USD in 1990 and a record low of 4451.55 USD in 1998.
 
Mkuu umenishawishi nitembelee huko... vipi hali ya ubaguzi? Najua kwa sisi wenye Permit sa EU huko tunaingia tuu
Huku ubaguzi uko kama sehem nyingine,.ila hapa wanafanya exaggeration katika kuureport
 
Asante sana mkuu kwa info! hasa hiyo ya kushushia na watot wazur wa Kiukraine!
 
Wahongo hao, ujui uchumi wa Russia unazidi Wa Nigeria na south Africa?

Ukibase kwenye
Per capita
PPP
Isipo kuwa GDP ndo iko chini ya.nchi hizo

Alafu makusanyo.ya Ukraine GDP ni mara tatu ya Tanzania yaan 196 trillion, wakati east Africa ni 179 almost

Ukraine GDP per capita PPP 398 billion USD
The Gross Domestic Product per capita in Ukraine was last recorded at 7668.06 US dollars in 2016, when adjusted by purchasing power parity (PPP). The GDP per Capita, in Ukraine, when adjusted by Purchasing Power Parity is equivalent to 43 percent of the world's average. GDP per capita PPP in Ukraine averaged 7025.13 USD from 1990 until 2016, reaching an all time high of 10463.96 USD in 1990 and a record low of 4451.55 USD in 1998.
Kumbe wanakimbizana na kina igweeee kiuchumi…. Didn't know that
 
Okay ili niishi huko walau siku 4 natakiwa kuwa na dola ngapi?
Hotel zipo za bei ndogo kuanzia dollar 10 kwa siku mpaka 100 kwa siku,

Chakula mgahawani ni dollar 5 kwa mlo wa kawaida sana ila kwa mlo wa uhakika ni dollar 10-20 kwa mlo,

Hivo dollars 300 minimum unaish
 
Daah mkuu naomba contacts zako kama hutojali... nitakuja Kiev unisaidie pia nitakusaidia kama utahitaji kuja Copenhagen Denmark
 
Back
Top Bottom