Kabulala
JF-Expert Member
- Oct 13, 2019
- 695
- 935
Hiyo ndio ilikua understanding yangu..SASA mshangao wangu ulikua ktk bandiko husika...sikupata mantiki yake.. iko kama mtoa mada anatuhamasisha kutafuta hizo books.. ndio maana nilikua nafanya interrogation hii ili nipate mantiki.Diplomatic passport huitafuti, Kuna vyeo ukiwa nacho kwa mujibu wa sheria zetu unatakiwa kuwa na diplomatic passport .
Na ukishapata hiyo hadhi (cheo) watu wa idara ya uhamiaji wenyewe wanakutafuta na kukutengenezea diplomatic passport.