Je, Waislam mtakubali kupandikiziwa figo ya nguruwe?

Wazee wa emergency ,imani bila msimamo hapo ni wizi mtupu.

#MaendeleoHayanaChama
Leo wakristo wote wanaume kwa wanawake,wanafinika uso,kwa corona kama wanawake na wanaume wa kiislamu wanavyojifinika uso.Mbona hapo husemi kama wakristo,Wakati walipokuwa wakiwaona wanaume au wanawake wa kiislamu wamejifinika uso,wakiwacheka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mngekuwa mnaruhusiwa mngekuwa mwajifinika makanisani na barabarani,kabla ya kuja corona.Wanaume mnaingia kanisani kichwa wazi na wanawake kichwa wazi,hata uso hawajifiniki.Sasa kwa corona nyote mwajifinika uso mpaka makanisani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee Jibu maswali kwenye ukristo Kuna kifungu kinakataza watu kujifunika USO?ulishawahi kusikia hata mchungaji yeyote anakataza wasijifunike?
Ukijifunika USO umekuwa muislam?
 
Mtueleze ninyi mnaozifuata hizi dini mimi nammwabudu Mungu tu
Sasa kama hauelewi dini ni nini unaanzaje kusema hivyo kwamba et kila angazaliwa na dini ya Mungu? wewe unaposema unaamuabudu Mungu maana yake kuna utaratibu unaotumia kumuabudu huyo Mungu na pia una maelezo yenye kumueleza huyo Mungu sifa zake na mambo yenye kuhusu huyo Mungu, sasa ukizungumzia dini ndio unazungumzia kitu chenye kuhusu mambo hayo niliyoyataja.
Sasa sijui wewe unayesema hauna dini unakuwa na maana gani?
 
Ulishajibu hapa
Mtaelewa tu taratibu.Kwenye dharura,lazima ufuate kitakachokuokoa.Wakristo wa nchi tatu za Haiti,Mexico na columbia,wanapigana na kuuwana wenyewe kwa wenyewe,maelfu ya wakimbizi wanakimbilia America.Wafikiri kwa nini wakimbilie Amerika,na wangebaki nchini mwao,ndio hiyo dharura,unaacha nyumba,mali,ardhi ,shamba,nchi yako ya asili,na kwenda ugenini,bila kupenda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jibu hili swali sasa
Haiti ,Mexico,Columbia wote ni wakristo wa madhehebu tofauti,wanaokimbia nchi zao,wanakwenda America,jiulize akifika Amerika,ikiwa dhehebu lake,halipo atajiita mlutherani au Mngalikana au mkatoliki au mprotestant au ...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiswahili hakina alphabet zake,wamechukuwa alphabet za kilatini,ndio hizi tunazotumia.Kiarabu,kichina,kilatini,kijapan,kirassia,kihindi,kipakistani Wana alphabet zao.Kiingereza na kuswali,hakuna alphabet zake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna lugha ambayo haijachukua maneno kutoka lugha nyingine, kiswahili kimechukua maneno ya kiarabu lakini katika hayo maneno katika matumizi ya kiswahili hakuna herufi Q na hi ndio hoja ya mdau
 
Tafiti zimeonyesha binadamu meenye matatizoya figo anaweza kupona kwa kupandikiziwa figo ya nguruwe,View attachment 1983581

Kuna dhehebu linaitwa mashahidi wa yehova, hili dhehebu linazuia mtu wa dini hiyo kuongezewa damu,

Je waislam mtakubali kupamdikiziwa figo ya nguruwe?
Mleta uzi mambo ya waislamu hayaamuliwi wala kujadiliwa kiholela. Lipo baraza la Ulamaa ambalo huja na majibu ya maswala kama haya.

Hivyo tuliza kalio ikifika wakati utajua.
 
Haijaacha kitu katika vitu gani hivyo? ndio maana nilitaka kushangaa mbona sijawahi kusikia waislamu wakidai hivyo ulivyosema wewe.
Chief, unataka kupinga nini ama kusema nini hasa? naona unazunguka na unaashiria kifuani unakitu na hutaki funguka!.

ngoja nikupanulie njia:, unataka kunipinga mimi ninaesema QUR'AN imeongelea hadi TIK TOK kwasababu Qur'an HAIJACHA kitu ama unataka kuwapinga waja wenzio wanaosema Qur'an HAIJAACHA kitu?.

MMESEMA Allah anajua kila kitu nami nikakazia:, "allah anajua hadi kilichomo ndani ya blackhole" , sasa naona unanikazia macho kisa nimeongelea blackhole,kweli?.


EBU FUNGUKA NIKUELEWA.
 
Hakuna lugha ambayo haijachukua maneno kutoka lugha nyingine, kiswahili kimechukua maneno ya kiarabu lakini katika hayo maneno katika matumizi ya kiswahili hakuna herufi Q na hi ndio hoja ya mdau
Tunachoongolea ni alphabet ,kwamba Kiswahili hakina alphabet zake,umechukuwa alphabet za kilatini,katika aliphabet za kilatini Q ipo,utaificha vipi,hata kama huna neno lenye Q,ukiiacha alphabet huitutumii,kwa vile tumeazima.Ukiazima nguo ya mtu,na ina mkanda umeshonewa humo humo,hata kama huna kazi nao mkanda,lazima uwe nao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom