Je, Waislam mtakubali kupandikiziwa figo ya nguruwe?

Tunachoongolea ni alphabet ,kwamba Kiswahili hakina alphabet zake,umechukuwa alphabet za kilatini,katika aliphabet za kilatini Q ipo,utaificha vipi,hata kama huna neno lenye Q,ukiiacha alphabet huitutumii,kwa vile tumeazima.Ukiazima nguo ya mtu,na ina mkanda umeshonewa humo humo,hata kama huna kazi nao mkanda,lazima uwe nao.

Sent using Jamii Forums mobile app
Duh! Kwahyo alphabet zote Za kilatini tunazitumia kwenye Kiswahili? J ipo kwenye kilatini?
by the way hata hiyo latini ilikopi wagiriki kwahyo Ni Sawa Kiswahili ukitumia maandishi ya kigiriki kisa alphabet ya Kiswahili ilitoka Kwa kilatini iloyotoka Kwa kigiriki?

Tumia akili mkuu mwalimu wako wa Kiswahili chekechea hakukufundisha herufi Q labda kama ulisomea chekechea madrasa
 
Tunachoongolea ni alphabet ,kwamba Kiswahili hakina alphabet zake,umechukuwa alphabet za kilatini,katika aliphabet za kilatini Q ipo,utaificha vipi,hata kama huna neno lenye Q,ukiiacha alphabet huitutumii,kwa vile tumeazima.Ukiazima nguo ya mtu,na ina mkanda umeshonewa humo humo,hata kama huna kazi nao mkanda,lazima uwe nao.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana we ndo hujaelewa, hatuongelei alphabet ya source tunaongelea product ya lugha husika, kwenye kiswahili tuna neno q?
 
Wewe hujielewi kama huelewi,unanashindwa kuelewa Maandiko.Bilaa maandiko matakatifu,kumuandika Yesu,wewe ungemjuwa vipi Yesu?Umeamjuwa Yesu,baada ya maandiko matakatifu kumuandika Yesu kwa upana wake na kwa undani.Na hapo hapo,unaposikia mtu anasema Fulani ni Mwalimu,wakati sio mwalimu,ni kuwa matendo yake yanafanana na mwalimu lakini sio mwalimu.

Sent using Jamii Forums mobile app
chief, ebu rudia kusoma komenti yangu vizuri then jibu nilichokuuliza.
 
Acheni sasa kumwita haramu mpeni sifa zake
Kwa mujibu wa Maandiko ya Allah,uharamu wake hauondolewi kwa sababu hiyo,uharamu upo pale pale,ila Allah hakina atukuzwe ametuelekeza wajaa wake namna ya kumtumia ktk masuala mengine
 
Una Aya ndani ya Qurani inayosema nyama ya Paka na Mbwa ni haramu kuliwa kama ilivyo kwa Nguruwe Kibudu ?

Ibandike hapa tujifunze.
kuhusu makatazo ya kula paka na mbwa ni mafundisho ya mtume sio aya
Mtume ametufundisha kua tusile wanyama ambao wanapata chakula chao kwa kutumia kucha
mfano. simba,chui,paka na mbwa na wengineo
 
Miongoni mwa najisi kubwa mbili basi nguruwe ni moja wapo...

Hukumu ya najisi kubwa ni kwamba ni haramu kuikaribia kuigusa au kuila nk pia ni haramu kila kinachotokana kwayo (kinachotokana nayo)

Hili la figo ya nguruwe tujipe muda tu wenyewe mtakuja kukiri humu kuwa "tumepigwa kweupe"
 
Maandiko yamepiga marufuku ulaji wa nguruwe hayajapiga marufuku matumizi ya nguruwe katika tiba

Hiyo ni daawha na wote tuseme inshaallah
Maandiko yapi wewe 'scars' unayejinasibisha kila siku hapa kuwa ni atheist?
 
kuhusu makatazo ya kula paka na mbwa ni mafundisho ya mtume sio aya
Mtume ametufundisha kua tusile wanyama ambao wanapata chakula chao kwa kutumia kucha
mfano. simba,chui,paka na mbwa na wengineo
Kumbe hapo Quran iliacha,ikabidi mtume ndo ajitungie?
 
Back
Top Bottom