Je, wahudumu wa Vodacom hawajui kiingereza kiasi hiki?

wakuu leo nimepokea ujumbe kutoka vodacom unasomeka hivi:-

"Your apply of open FI account have been processing,your will receive notification When FI account have been created."

ukiangalia hii sentensi utagundua makosa mengi sana ya kisarufi na kimsamiati. (structural errors and voabulary errors)

kimsingi sentensi ilkuwa inatakiwa kuwa hivi:-

"your application for FI account is being processed' you will receive notification when the FI account has been processed"

najaribu kufikiria aina ya watu wanaofanya kazi voda hasa customer care sipati jibu.
"Voabulary errors" kaka na ww unafanya Kazi Vodacom ????
 
walimuachia mkenya atengeneze bila kumkagua matokeo yake ndio hayo
Je hawa tiGO nao hawajui Kiswahili???...

+
+
+
huu Ujumbe nimepokea toka tiGO.
+
+
+

Marafiti zako zina maapudates kwenye Facebook. Piga *148*01*4*3# uchapishe maoni, upende na naufurahie FB bila kikomo kwenye simu yako bila ya interneti.
 
Nafikiri wanatumia Google Translator...... Hawa jamaa ni vichwa maji.

+
+
Facebook yako notisi kwa leo!! Piga *148*01*4*3# kuangalia kuarifiwa
 
Je hawa tiGO nao hawajui Kiswahili???...

+
+
+
huu Ujumbe nimepokea toka tiGO.
+
+
+

Marafiti zako zina maapudates kwenye Facebook. Piga *148*01*4*3# uchapishe maoni, upende na naufurahie FB bila kikomo kwenye simu yako bila ya interneti.
Nafikiri wanatumia translater hawa maana juzi kati nilipokea ujumbe wa face book kwa kiswahilo kutoka tigo nilitoa macho!
 
wakuu leo nimepokea ujumbe kutoka vodacom unasomeka hivi:-

"Your apply of open FI account have been processing,your will receive notification When FI account have been created."

ukiangalia hii sentensi utagundua makosa mengi sana ya kisarufi na kimsamiati. (structural errors and voabulary errors)

kimsingi sentensi ilkuwa inatakiwa kuwa hivi:-

"your application for FI account is being processed' you will receive notification when the FI account has been processed"

najaribu kufikiria aina ya watu wanaofanya kazi voda hasa customer care sipati jibu.

Hiyo si voda tu, 90% ya Tanzania ni vivyo hivyo au worst.
 
Nasikia wafanyakazi wengi wa makampuni ya simu ni wale walioshika Top Ten kwenye matokeo ya kidato cha sita au cha nne.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom