Je, utamsamehe Mke/mchumba kwa Kuchepuka?

Je, utamsamehe Mke/mchumba kwa Kuchepuka?

Na ukishaona mahusiano yenu yanavumiliwa kwa manufaa ya watoto hapo hamna kitu tena.

Mikakati mizuri ipo ya kulea watoto hata bila wazazi kuishi pamoja. Ila siyo mke wako ana cheat huko unajua ila unavumilia tuu. Nini maana ya ndoa? Kama nilikuoa ili nikuhalalishe uwe wangu pekee na sasa unagawa tuu?

Hakuna namna na haja ya kuendelea na ndoa ya hivyo hata Mungu mwenyewe anaona, watu wamebakia kusema walikula kiapo mpaka kifo kiwatenganishe(wafia ndoa kisa viapo ambavyo hawawezi kuviishi).
Wengine wanaenda mbali zaidi kuwa hawawezi kukiuka walichoapa mbele ya madhabahu, mwisho wa siku mtu anakubali kuishi maisha yake yote ndani ya maumivu makali, si ujinga huo kisa kuitumikia ndoa ambayo kimsingi ilishavunjika tangu ulipogundua usaliti wa mwenzio.

Kukubali kuendelea kuishi na msaliti ni kuyakubali maumivu 100% na ni njia rahisi ya yeye kukuangamiza jumla.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hakuna namna na haja ya kuendelea na ndoa ya hivyo hata Mungu mwenyewe anaona, watu wamebakia kusema walikula kiapo mpaka kifo kiwatenganishe(wafia ndoa kisa viapo ambavyo hawawezi kuviishi).
Wengine wanaenda mbali zaidi kuwa hawawezi kukiuka walichoapa mbele ya madhabahu, mwisho wa siku mtu anakubali kuishi maisha yake yote ndani ya maumivu makali, si ujinga huo kisa kuitumikia ndoa ambayo kimsingi ilishavunjika tangu ulipogundua usaliti wa mwenzio.

Kukubali kuendelea kuishi na msaliti ni kuyakubali maumivu 100% na ni njia rahisi ya yeye kukuangamiza jumla.


Sent from my iPhone using JamiiForums
Ila tukumbuke kuwa hata uoe mwingine pia naye anaweza kuwa analiwa pia.
 
Amuache , nadhani huo ndio msiamo mzuri, maana kusaliti sio jambo jema kabiaa, vinginevyo atabaki kuumia moyo kila anapo kumbuka , na mbaya zaidi inaweza hata mpunguza nguvu za kiume

kIongOzI Wa BaaDae
Haya bana
 
  • Thanks
Reactions: sab
Akili za kuambiwa changanya na zako, sababu wewe ndio mhusika mkuu & kama ni aibu/uchungu vinakpata wewe, kwaio mtu askupangie cha kuamua.

Usiyaamini sana maamuzi unayofanya wakati ukiwa na hasira sana sana furaha sana, kuna uwezekano baada ya muda yatakugharimu.... Key word " kuna uwezekano"

Mara nying haya maswala, maamuzi hua ni subjective, kulingana na hali na akili ya mhusika.

Jipe muda zaidi wa kutafakari na kuisoma stuation ilivotokea na hali inavoenda kwa ujumla. kama ni mke mrudishe nyumbani kwanza ila chunga usfanye ktangaza kwa watu kwamba kuna usaliti umetokea.

Jaribu kupata ushauri kutoka kwa watu unaowaamini (washirikishe watu WACHACHE sana), lakini askukalilishe mtu kwmba kila usaliti ni divorce, au ni kusamehe.

Mwisho wa siku utapata uamuzi sahihi na usimamie. Ila if u make it an over night process, ukasamehe au ukadivorce chances are high that you will regret.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unamsamehe kwa kosa lipi haswa? Hayo ni maisha alochagua xo mnaendelea kuishi maisha hayo pamoja ila kiu yake itakua ikimalizwa na huyo mme wa mtu sio wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tukiwa Tunaendelea na sherehe za kumaliza korona nchini, tujadili kidogo hii mada.

Naamini hili ni jukwaa kubwa sana. Una mke na watoto wawili au zaidi {mfano} miaka 2, 4 na 7, ukagundua mkeo amesaliti na ukafanya uchunguzi ukaujua ukweli. Umemuuliza mkeo naye akakili kukusaliti nje ya ndoa na mme wa mtu. Na akakuomba msamaha akilia sana na kukiri kutorudia tena.

Swali kwa waliopitia haya madhira au endapo ukapatwa na hili janga: Je utamsamehe au utamwacha aende zake?.

NB: Haina uhusiano na mtoa mada.

Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee kama umewahi kulelewa na baba tu, mama akiwa hayupo utasamehe tu. Certainly u know how it feels like kutokuwa na mama around, ko inabidi usacrifice furaha yako kwa ajili ya watoto.

Ukiamua kutokusamehe, huko ni kuwa mbinafsi kwa watoto wako.. Yani unachagua kuwa na furaha afu watoto wako wanakuwa na huzuni.
 
Mimi nitamsamehe lakini sitamrudia.

Kumsamehe ni tiba kwangu nisiendelee kuteseka na maumivu.
 
Back
Top Bottom