Mpe breki hata ya miezi miwili mitatu mpaka miezi sita mwaka hukooo
La sivyo ukichukulia poa poa, UTAENDELEA KUTOMBEWA MKE MPAKA BASI.
mkonfyuzi kwanza akili yake, akose amani, AJUTIE KWELIKWELI , mpaka ndugu na wazazi wake wamuulize.mbona huendi kwenu?
Kikubwa, ACHA KUMTANGAZA KWA WATU KUA.KAKUCHEPUKA ACHA KABISAAAA , UTAMTANGAZA ALAFU UNAENDELEA NAYE AIBU NIYAKO .
acha mwenyewe ndio awambie wazazi wake ,ndugu wake .... huko ndiko atajutishwa na akili itamjaa.
Maswala ya kuchukulia poa kisa amelia hahahahah ACHA UJINGA, UTATOMBEWA MPAKA BASI.
NB... HAMNA SABABU ATAKAYOKUPA INAFAA KUHALALISHA UCHEPUKAJI.
Sent using
Jamii Forums mobile app