Je, utamsamehe Mke/mchumba kwa Kuchepuka?

Je, utamsamehe Mke/mchumba kwa Kuchepuka?

du..kashindwa kumvumilia likizo na si ndo huwa inasemekana wao wanaweza kuvumilia kwa kipindi kirefu kuliko sisi.

Huo ni uongo mwanamke anayekula vizuri na yuko stress free kila siku anaweza kuwa na hamu usikariri wanawake wa zamani waliokuwa wanatahiriwa
 
Mwanamke akichepuka hatakiwi kusamehewa kwa namna iwayo yote ile mfukuze siku hiyohiyo kanuni yetu wanaume ni ileile ya ufunguo malaya na kitasa malaya kipi Bora.
 
Nilisemaga nikisaliti kabla sijapata mtoto ni vzr naachana nae bila madeni yeyote.

‘Nikisaitiwa wakati na mtoto ni vzr zaidi maana sitaoa tena kama watoto ninao tayari hapo imebaki kutafuta wanawake km wawili mmoja natomba jumamosi,mmoja jumapili.

Siku zilizobaki ni kutafuta hela na kutembea duniani.

Kusamehe ni moyo wa mtu na mtu binafsi naujua moyo wangu naweza kusamehe lakini huyo mwanamke hatakuwa tofauti na mbuzi kwenye macho yangu ya nini kuendelea kumtesa na kumlisha majani mbuzi mwache aende zake tu.
 
Duuh mapenzi mabaya
Nilisemaga nikisaliti kabla sijapata mtoto ni vzr naachana nae bila madeni yeyote.

‘Nikisaitiwa wakati na mtoto ni vzr zaidi maana sitaoa tena kama watoto ninao tayari hapo imebaki kutafuta wanawake km wawili mmoja natomba jumamosi,mmoja jumapili.

Siku zilizobaki ni kutafuta hela na kutembea duniani.

Kusamehe ni moyo wa mtu na mtu binafsi naujua moyo wangu naweza kusamehe lakini huyo mwanamke hatakuwa tofauti na mbuzi kwenye macho yangu ya nini kuendelea kumtesa na kumlisha majani mbuzi mwache aende zake tu.
 
Kwanza mpaka mtu achepuke either me au ke kuna sababu zifuatazo :
1.Aridhiki na mapenzi anayopewa
2. Huna time na yeye.

3. Hakuna maelewano ndani. Magomvi.
4. Sababu za kifedha -uchumi kuwa vizuri.
5. Tamaa
6. Ubabe
7. Mazingira ya kimaisha.
8. Tabia
9. Urafiki hasi.
10. Kupenda Kuwa kwenye mahusiano na mwenzi au wenzi wa zamani.
Sasa mtu anapochepuka kuna vitu ana vimiss kutoka kwako na inasababisha atafute pengine. Hivyo kama mwenzi kachepuka na umejua si vema kuchukua hatua za hasira.Ni vema kwanza utulize jazba halafu murekebishe na kuboresha tatizo lililopo.
Kama ikijirudia tafuyeni msaada kwa wazee


Sent using Jamii Forums mobile app


Mdau wapo wanaochepuka kwa hulka na tamaduni zao, yaani ngono kwao ni starehe hawakatai mtu na wanajitongozesha. Na hayo makabila yapo na hata wewe ukipata mmoja utaleta ushuhuda na hizo points uta nullify zote
 
Mdau wapo wanaochepuka kwa hulka na tamaduni zao, yaani ngono kwao ni starehe hawakatai mtu na wanajitongozesha. Na hayo makabila yapo na hata wewe ukipata mmoja utaleta ushuhuda na hizo points uta nullify zote
Ndugu yataje makabila uokoe kizazi
 
Mpe breki hata ya miezi miwili mitatu mpaka miezi sita mwaka hukooo


La sivyo ukichukulia poa poa, UTAENDELEA KUTOMBEWA MKE MPAKA BASI.



mkonfyuzi kwanza akili yake, akose amani, AJUTIE KWELIKWELI , mpaka ndugu na wazazi wake wamuulize.mbona huendi kwenu?



Kikubwa, ACHA KUMTANGAZA KWA WATU KUA.KAKUCHEPUKA ACHA KABISAAAA , UTAMTANGAZA ALAFU UNAENDELEA NAYE AIBU NIYAKO .


acha mwenyewe ndio awambie wazazi wake ,ndugu wake .... huko ndiko atajutishwa na akili itamjaa.




Maswala ya kuchukulia poa kisa amelia hahahahah ACHA UJINGA, UTATOMBEWA MPAKA BASI.



NB... HAMNA SABABU ATAKAYOKUPA INAFAA KUHALALISHA UCHEPUKAJI.

Sent using Jamii Forums mobile app


Je, Kuna dalili akiwa ananyonyesha pia amekuwa anachepuka pia? Au anafanya akiwa amekuza watoto? Na je mkiwa wapenzi au wachumba amewahi kukusaliti au kuwa na ishara za usaliti? Na je miongoni mwa anaochepuka nao ni maex wake? amekuwa mkaidi kwa kiwango gani kuhusu tabia hio? haya ni maswali muhimu.
 
mimi wangu mwez huu nimemuacha haiwezekani mwanaume napambana lakini mtu haridhiki
 
Tukiwa Tunaendelea na sherehe za kumaliza korona nchini, tujadili kidogo hii mada.

Naamini hili ni jukwaa kubwa sana. Una mke na watoto wawili au zaidi {mfano} miaka 2, 4 na 7, ukagundua mkeo amesaliti na ukafanya uchunguzi ukaujua ukweli. Umemuuliza mkeo naye akakili kukusaliti nje ya ndoa na mme wa mtu. Na akakuomba msamaha akilia sana na kukiri kutorudia tena.

Swali kwa waliopitia haya madhira au endapo ukapatwa na hili janga: Je utamsamehe au utamwacha aende zake?.

NB: Haina uhusiano na mtoa mada.
Kinacho kufanya mwanaume ukubali msamaha wa mwanamke ni kumpenda sana mwanamke kupitiliza .,lakini uki balance hisia zako kama mwanaume ,huwezi kukubali msamaha kwa usaliti...,lakini kosa hilo hakuna msamaha... ukiangalia wanaume wote wanaokubali msamaha kwa kosa hilo kwa mwanamke ni sababu ya kupenda sana kupitiliza...utakuta dume zima linasema bila aibu " NASHINDWA KUMWACHA MKE WANGU NAFIKIRI WATOTO WNGU WATAISHIJE" kumbe ukweli ni kwamba "anafikiria ataishije bila penzi la huyo mwanamke...' Huo ndy ukweli 99%
 
Siwezi kukaa na mwanamke anaechepuka ata kwa lisaa limoja ,yaani timulia mbali ata awe na watoto kumi natimua tu .Kwani angekufa hao watoto nisinge walea au .
 
Nikiulizwa nitasema siwezi kumsamehe ila moyoni mwangu kusema ukweli nampenda mke wangu na nitamsamehe japo sitasahau na nitaishi naye kwa tahadhati sana, kiafya na usalama wangu.

Akishaanza kuchepuka kuna uwezrkano mkubwa wa kuendelea kufanya hivyo tena baadae. Hivyo anaweza asijihafhari vema na magonjwa hasa Ukimwi so kupima itakuwa mara kwa mara. Pili usile chakula cha pekeyako bila yeye au mtoto kushiriki naye na usilale kibwegebwege sana, namannsha anaweza kukolea huko nje akaona wewe ni kizingiti cha yeye kufaidi na huyo wa pembeni akakutoa kafara hasa kwa sumu.

Nb: mwanaume akichepuka anaenda kumaliza hamu ya tendo tuu ila mwanamke hachepuki bila kuweka hisia za upendo.
Sasa shida zote za nini hizi??..
 
Back
Top Bottom