Je, ushawahi kuumizwa Kama Mimi?

Je, ushawahi kuumizwa Kama Mimi?

Dah anomkimbiza uyu jamaa imetoshaaaa
 
Fanya Masahihisho Ya Habari Yako
Hakuna Parandesi, Koma, Nukta
mvuto Kwa Msomaji Haupo, Jitahidi Ujifunze Kwa Wenzako
 
Wakuu tunaendelea lakini mtanisamehe na hayo malalamikko yenu ukweli nilikimbia umande siwezi zaidi ya hapo. Tunaendelea Sasa baada ya kuanza safari usiku ule nikama nilikuwa na gundu, Mana baada ya kufika mbezi eneo la luguruni ,nikambutua dereva boda boda sjaa kaa sawa breki ikawa ile mimawe ya road, duu sjakaa sawa gari imezungukwa na boda wa kutosha ,ndo ile kuchomoka huku nachezea vitasa umeuwa umeuwa ,ashukuriwe MUNGU yule jamaa ni Kama alizima kwa mshtuko Mana baada ya mabishano ya hapa na pale yule jamaa alizinduka, baada ya yule jamaa kuzinduka tukakubaliana nimpeleke hospital na jombo lake nilikarabati, hamadi narudi kwenye gari ili nilitekenye naangalia kwenye siti ambapo niliweka hela pamoja na simu aisee palikuwa peupe ,aisee kwaa ajili ya haraka Wala skua na wasi wasi wakuangalia zaidi nikahisi labda zimeangukia tu ndani ya gari,. kwa ajili ya ule mtikisiko, yule jamaa nilombutua baada ya majadiliano tukakubaliana apande kwenye gari na wenzie wawili twende hospital,wale jamaa wakapanda uelekeo ukiwa tumbi ,tukaza safari ya hospitali,kabla hata ya kufika mbali yule jamaa akabadili mawazo kuwa Yuko fresh Hana haja ya kwenda hospital, zaidi akadai nimpe hela zakutengenezea jombo lake na michubuko alopata atajitibia mbele ya safari,. Nikaona hapa nimepiga bingo nawapa hela Yao alafu naendelea na safari yangu,. Sindo nakumbuka tena kuwa kunamuda niliangalia hela pamoja na simu skuviona ,muda huo wale jamaa wanafosi kuwa niwape hela Yao Wala hawlaitaji kwenda mbali, nikaona sio kesi nikaiweka gari pembeni kwaajili ya kuangalia zile hela pamoja na simu yangu. Itaendelea
 
Aisee yamenikuta nikahisi nipo kwenye njozi ni wiki mbili tu lakini nilikonda kiasi ambacho hata upepo kidogo ukija napepesuka

Kiufupi siku moja nimelala usiku naskia simu vuuu, vuuu, vuuu nilikuwa nimeweka vibration kuangalia mama ndio alikuwa anapiga ile kupokea tu hakuna salamu Wala Nini niliskia sauti ya huzuni ikisema mwanangu hamna kulala tena fanya ufanyavyo asubuhi uwe umefika nyumbani, muda huo naangalia saa ni saa 5 usiku halafu simu akakata napiga simu haipokelewi napiga tena zaidi ya mara tano lakini haikupokelewa.

Kwanza nguvu zikaniisha gafla kwa kuwaza nNini kimetokea huko nyumbani, ghafla nikapata wazo nipigie jirani yetu labda atanipa taarifa iliyokamilika lakini pia skumpata nikipiga simu haipatikani, aisee niliwaza mengi pasipo majibu

Nikaona isiwe tabu acha nifuate maneno ya mama kuwa asubuhi ikifika niwe nishafika nyumbani nikavuta shati chap nikavuta kiatu chapu nikatinga nikatoka nje nikauwasha mkoko nikauacha ungurume kidogo kwa ajili ya safari dakika 5 mbele nikaanza safari ya kwenda nyumbani
Bangi mbaya
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom