JE USEMI WA KUWA UKISOMA COMPUTER SCIENCE HAKUNA AJIRA NI KWELI?

JE USEMI WA KUWA UKISOMA COMPUTER SCIENCE HAKUNA AJIRA NI KWELI?

IT{information technology} ndo iko Bora maana ina wigo mpana sana than computer science kwasababu mtu anayesoma IT{information technology} anaweza kujiajiri na kuajiriwa both private sector like NGO's{non governmental organization's}& public sector like government ko IT is better than computer science be careful with your heart my dear& friends.
acha uongo Computer science ndo inameza kila kitu linapokuja suala la IT
 
IT{information technology} ndo iko Bora maana ina wigo mpana sana than computer science kwasababu mtu anayesoma IT{information technology} anaweza kujiajiri na kuajiriwa both private sector like NGO's{non governmental organization's}& public sector like government ko IT is better than computer science be careful with your heart my dear& friends.
haaaaah wew jamaa hauko serious hata kidogo unajua unachoongea au unalopoka tu.
 
Watu wanachanganya computer science kibongo ni IT na ataomba kazi za ICT kama kawaida hebu haribu jupitia secretariet ya ajira kozi za ict zote zinaweka pamona inapotokea nafasi kuhusu suala la ajira hakuna kozi hata mona yenye uhakika wa ajira kwa bongo kwa sasa mshauri modogoako akapige msuli awe mtaalamu wa IT mambo yatajipa mbele ya safari.
nimekuelewa sana, bongo hapa maswala ya computer na technology kiujumla ni uongo kuaanzia ajira, kujiajiri, elimu, utumiaji hadi utengenezaji, yaani bado sana.
kusoma ICT bongo ni sawa na mtu kujifunza mchezo wa kuteleza kwenye barafu bongo halafu ategemee kushindana hapa bongo na iwe kama ni ajiria yake ambapo hata viwanja vya barafu na wachezaji kama yeye na mashabiki hakuna.
kama unataka kusoma kwaajiri ya kuwa na ujuzi tu utatumia mbele ya safari mambo yakiwa vizuri poa ila kama unasoma kwaajiri ya pesa kwa sasa utanoa, utaishia kuwa fundi simu na laptop; web designer, graphic designer na vikazi vidogodogo ambavyo mtu siyolazima kuwa na diploma au degree kuvifanya short course tu au kujifunza kwenye field inatosha.

.
 
Ni lazima kujua language zote ili uwe konk zaidi ya dudu baya, ukizijua zote itakupa uwanja mpana sana na kuwa good programmer
languages zote baba! fahamu kila language ina malengo yake kabla ujajifunza lugha kwanza unatakiwa kujua unataka kuwa developer wa kitu gani, mfano mtu anayetaka kuwa web developer lugha ambazo anatakiwa kuzisoma ni javascript, php, html na css angawa html na css aziangaliwi kama lugha ila ni muhimu sana kuzijua, anaweza kuongezea java na python.
lalini kujua lugha zote ni swala gumu sna lugha ni nyingi sana.
 
Ajira zipo nyingi mno kwenye Software Development/Engineering. Kama waweza poa sana sana, na zinalipa sana sana
 
Back
Top Bottom