Mr.mzumbe
JF-Expert Member
- Oct 11, 2011
- 1,063
- 1,065
Ajira za IT/CS zipo nyingi sana ila lazima uwe nondi kimtindo ili uweze pata hizo fursa. IT/CS kazi zao za msingi ni kama zifuatazo:-
1. NETWORK
2.DATABASE
3.PROGRAMMING.
Kama unataka kupata ajira fasta, lazima uwe nondo kwenye kipengele kimoja wapo, lakini kama mpaka unamaliza chuo bado hujashika popote pale, basi uwezekano wakupata tabu ni mkubwa sana.
Mimi naongea kama degree holder wa IT na nina uzoefu wa miaka 5 kwenye hiyo field.