Je unazijua sura za wanaume?

Kuna maneno nimeyasikia kwa wasichana na wanawake wengi juu ya aina za sura za wanaume na nayaleta kwenu wanajamvi kunisaidia kutambua ukweli zaid.
Nimesikia sura za wanaume zimegawanyika katika makundi mbalimbali ambayo ni :-
wenye sura nzito,sura kavu,sura chachu,sura ngumu, sura chungu na wachache sura telezi.
kwa anayefahamu zaidi naomba anisaidie kunielewesha kwani natamani kujua zaidi juu ya hizi sura za hawa wenzetu maana nimesikia sura zao hujengeka kutokana na tabia za mazoea kama ukali, ubabe,hasira n.k na kamwe hazihusiani na uumbaji wa Muumba.

Be careful The face can tell the opposite! look at PM and your husband!
 
Kuna maneno nimeyasikia kwa wasichana na wanawake wengi juu ya aina za sura za wanaume na nayaleta kwenu wanajamvi kunisaidia kutambua ukweli zaid.
Nimesikia sura za wanaume zimegawanyika katika makundi mbalimbali ambayo ni :-
wenye sura nzito,sura kavu,sura chachu,sura ngumu, sura chungu na wachache sura telezi.
kwa anayefahamu zaidi naomba anisaidie kunielewesha kwani natamani kujua zaidi juu ya hizi sura za hawa wenzetu maana nimesikia sura zao hujengeka kutokana na tabia za mazoea kama ukali, ubabe,hasira n.k na kamwe hazihusiani na uumbaji wa Muumba.

Wasichana na wanawake
Tafadhali jitokezeni mfafanue hizo sura zetu mlizozipa hayo majina zina maana gani . . .
 
Ila kwa kifupi tu ni kwamba (Kwa mtazamo wangu)

Wanaofikia hatua ya kutunga majina ya aina hiyo (iwe kwa wanawake au wanaume) mara zote ni watu waliokosa maarifa na maisha yao hayana muelekeo, ni type ya watu wa vijiweni, wenye maneno ya majungu, masikini wa akili na mawazo, kazi yao kubwa ni kuchunguza maisha ya wengine na kuyatungia maneno . . .

Na kila siku utasikia majina mapya na mapya zaidi, hayana idadi.
 
hiyo ikoje mkuu?natamani kuifahamu

goat.jpg

Hii ndo sura ya mbuzi
 
Nimesikia sura za wanaume zimegawanyika katika makundi mbalimbali ambayo ni wenye:-
1.. sura nzito,
2.. sura kavu,
3.. sura chachu,
4.. sura ngumu,
5.. sura chungu na wachache
6.. sura telezi....................

FL1,

Utafiti huu kiboko - Lakini nadhani umekesha unasoma "novel" yetu ile maarufu sana [Vivian Vande Velde - Never Trust a Dead Man].. Hii novel ni horrific na ni vyema ukawa unaisoma mchana tu na siyo after mid night.. Inaweza kukuletea matatizo!

HTML:
Kuna maneno nimeyasikia kwa wasichana na wanawake wengi juu ya aina za  sura za wanaume na nayaleta kwenu wanajamvi kunisaidia kutambua ukweli  zaid.
Nimesikia sura za wanaume zimegawanyika katika makundi mbalimbali ambayo ni :-
wenye sura nzito,sura kavu,sura chachu,sura ngumu, sura chungu na wachache sura telezi.
kwa anayefahamu zaidi naomba anisaidie kunielewesha kwani natamani kujua  zaidi juu ya hizi sura za hawa wenzetu maana nimesikia sura zao  hujengeka kutokana na tabia za mazoea kama ukali, ubabe,hasira n.k na  kamwe hazihusiani na uumbaji wa Muumba.

sura telezi= gay................................................???????????? nauliza tu.....................................
 
i napenda mwanaume mwenye sura ngumu, sasa mwenzangu na mimi unakuwa na BF kama yule wa kwa BBA wa south africa si unataka kufa na presha tu
 
Kuna maneno nimeyasikia kwa wasichana na wanawake wengi juu ya aina za sura za wanaume na nayaleta kwenu wanajamvi kunisaidia kutambua ukweli zaid.
Nimesikia sura za wanaume zimegawanyika katika makundi mbalimbali ambayo ni :-
wenye sura nzito,sura kavu,sura chachu,sura ngumu, sura chungu na wachache sura telezi.
kwa anayefahamu zaidi naomba anisaidie kunielewesha kwani natamani kujua zaidi juu ya hizi sura za hawa wenzetu maana nimesikia sura zao hujengeka kutokana na tabia za mazoea kama ukali, ubabe,hasira n.k na kamwe hazihusiani na uumbaji wa Muumba.

FL1 Kwani wako anasura ya aina gani kati ya hizo ulizo taja?
 
Back
Top Bottom