Je, unaweza kupata ''real love'' mtandaoni?

Je, unaweza kupata ''real love'' mtandaoni?

Ukipata a "Lady" you can make it .... Mpaka ukasema ewaaaaaaa.

Ukipata a 'girl' utaishia kusema ,mademu wa mitandaon hawafai.

Swali kubwa ni ,,, nitawezaje kumjua huyu ni Lady uyu ni Girl?? ..... Rahisi sana tu.

Tokea niwe naye ,amekua sehemu ya maisha yangu ya kila siku , amekua akinipa faida ya upendo kila uchwao , Nimwanamke asokua Kifani ,tupilia mbali uzuri wa mwonekano wake ,bali amepewa uzuri wa moyo ,moyo ulojazwa unyenyekevu ,ukweli ,upole ,uvumilivu ,ustahimilivu ,moyo wakufanya kazi ukizingatia kauli mbiu ya CCM ni hapa kazi tu, Huyu mwanamke mpaka unaweza kukaa ukajiuliza ,umekutana na malaika au?? Anajua moyo wamtu nikm ngumi ya mkono wake wakulia ,nasababu mimi sio mnene nina kangumi kadogo kwaiyo ninakamoyo kadogo [emoji8] basi bana ,,kua na kamoyo kadogo nakwambia mwanamke wawatu muda wote ni "baby mith you......umekula baba....poleee kwa kazi'' yaan niivi sipendi kunenepa ila ningeshakua bongeeee.

Mkuu inategemea umeangukia demu au mwanamke !!...ila true love lipo
Hahahhaahah hongera mkuu kwa kubahatika. Big up sana maana sio kwa kusifia hukoo
 
Hapo umepata punga huko Fb unakuja sasa kutuuliza sisi... Empty Set kabisa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu punga daaah
 
Ndio unaweza sana tu, kwa 7bu sisi tulio mtandaon ni wanadamu wa jamii yetu wa sayari hii hii. Mazingira ya kukutana na Adam au Eva wako ni mahali popote. Ila kuna kuna dosari zake pia ambazo unaweza kuziindoa ni mambo ya kawaida kabisa ila usiache kumuuliza Mungu kwa habar hii pale unapokutana na mtu humu. Mi nahic tu umeshakutana nae. Mshirikishe Mungu kwanza kwa imani yako. Sio unaanza kushirkishana na shetan halafu ndo ukumbuke Mungu namaanisha sio kuanza kukopesha halafu baadae uanze kulaumu eti hulipwi mara hakuwa mteja oooh tapel
 
Kama mapenzi yanaweza imarishwa kwa njia za mitandao mfano mke na mume au wachumba na wapenzi kupigiana simu za whatsapp basi itawezekana pia mkapatana huko huko mtandaoni na mkawa real wote mkuu
 
Yes,why not?dating online is like dating with anyone anywhere,kama unavyoingia kichwa kichwa mitaani kwa ku fall in love with a wrong person you can still make that same mistake in online dating...
 
Nenda insta page ya sanchi, amber lulu, giggy money utapewa bure kabisa bila malipo. [emoji1] [emoji23] [emoji119] [emoji119]
 
Kupata mpenzi wa kweli hakuna formula popote unaweza mpata iwe nyumba ya ibada,disco,fb,jf hata kwenye mikutano ya siasa. Real love is made ukifail basi jua hamjamatch
Ni kweli. Inategemea umempataje, wapo serious lovers, money mongers na funny makers - hao wa kati wakiwa wengi miongoni mwao! Miaka kadhaa nyuma jamaa yangu (aliyepata kuumizwa kimahusiano) ali respond tangazo la Binti aliyekuwa akimtafuta soul mate wa maisha yake. Alimatch sifa alizotaka Binti. Wengi tulimcheka lakini
baada ya mawasiliano kadhaa walionana, wakapendana licha ya utofauti wa elimu kati yao (Binti alikuwa na elimu ya Chuo, kijana alikuwa wa vidato tu). Kama mzaha wakaoana, Binti alikuwa mama wa nyumbani wakati jamaa anafanya kazi baadae mama nae akapata ajira (tena kwa sasa ana madaraka makubwa) na wana watoto watatu. Wanapendana usipime!
 
Hilo swali ndio linatutatiza wengi.karibuni Tu share ideas,njia zipi za kupata mpenzi bora??Girlfriend,Boyfriend..je unaweza Ku make love na mtu uliekutana nae mtandaoni kama FB or JF na mkafika mbali???
one in a million japo unaeza bahatika...ila wazungu ndio wanaweza haya mambo huku ni wauza kipapa wengi
 
Hilo swali ndio linatutatiza wengi.karibuni Tu share ideas,njia zipi za kupata mpenzi bora??Girlfriend,Boyfriend..je unaweza Ku make love na mtu uliekutana nae mtandaoni kama FB or JF na mkafika mbali???
Inawezekana kabisa.
 
Ukipata a "Lady" you can make it .... Mpaka ukasema ewaaaaaaa.

Ukipata a 'girl' utaishia kusema ,mademu wa mitandaon hawafai.

Swali kubwa ni ,,, nitawezaje kumjua huyu ni Lady uyu ni Girl?? ..... Rahisi sana tu.

Tokea niwe naye ,amekua sehemu ya maisha yangu ya kila siku , amekua akinipa faida ya upendo kila uchwao , Nimwanamke asokua Kifani ,tupilia mbali uzuri wa mwonekano wake ,bali amepewa uzuri wa moyo ,moyo ulojazwa unyenyekevu ,ukweli ,upole ,uvumilivu ,ustahimilivu ,moyo wakufanya kazi ukizingatia kauli mbiu ya CCM ni hapa kazi tu, Huyu mwanamke mpaka unaweza kukaa ukajiuliza ,umekutana na malaika au?? Anajua moyo wamtu nikm ngumi ya mkono wake wakulia ,nasababu mimi sio mnene nina kangumi kadogo kwaiyo ninakamoyo kadogo [emoji8] basi bana ,,kua na kamoyo kadogo nakwambia mwanamke wawatu muda wote ni "baby mith you......umekula baba....poleee kwa kazi'' yaan niivi sipendi kunenepa ila ningeshakua bongeeee.

Mkuu inategemea umeangukia demu au mwanamke !!...ila true love lipo
Kwahiyo wewe ulimpata fb jf badoo au wapi tuanzie hapo
 
Kupata mpenzi wa kweli hakuna formula popote unaweza mpata iwe nyumba ya ibada,disco,fb,jf hata kwenye mikutano ya siasa. Real love is made ukifail basi jua hamjamatch
Is made uki......??? Laba nimeelewa tofauti mkuu
 
lakini ipo true story kuna rafiki zangu wahindi walikutana facebook mpaka sasa ni mke na mume
 
Back
Top Bottom