Je, unaweza kupata ''real love'' mtandaoni?

Je, unaweza kupata ''real love'' mtandaoni?

Kupata mpenzi wa kweli hakuna formula popote unaweza mpata iwe nyumba ya ibada,disco,fb,jf hata kwenye mikutano ya siasa. Real love is made ukifail basi jua hamjamatch
 
Sasa nikupe hints...

Mahusiano ya hivi wala usiyatafute kwa nguv na kulazimisha ,utaishia kupata ":mademu " ambao itakulazim uanze kunyanyua vyuma ,uvae mlegezo,unyoe kila style mpya ,mwende club ,kunywa pombe kali kali , uvute kidogo

Yaaan wao wanasema "" i drink and smoke socially [emoji3][emoji3][emoji57]"

Ebwanaaaa tulia tu utaona ghafla mmekua wapenzi !!
hahaha damn boy.
 
Hilo swali ndio linatutatiza wengi.karibuni Tu share ideas,njia zipi za kupata mpenzi bora??Girlfriend,Boyfriend..je unaweza Ku make love na mtu uliekutana nae mtandaoni kama FB or JF na mkafika mbali???
why not??? kwani hao watu waliokuwa mtandaoni si ndio hao hao waliopo mitaani kwa kwetu ktk jamii zetu au??
 
Ukipata a "Lady" you can make it .... Mpaka ukasema ewaaaaaaa.


Ukipata a 'girl' utaishia kusema ,mademu wa mitandaon hawafai.

Swali kubwa ni ,,, nitawezaje kumjua huyu ni Lady uyu ni Girl?? ..... Rahisi sana tu.


Tokea niwe naye ,amekua sehemu ya maisha yangu ya kila siku , amekua akinipa faida ya upendo kila uchwao , Nimwanamke asokua Kifani ,tupilia mbali uzuri wa mwonekano wake ,bali amepewa uzuri wa moyo ,moyo ulojazwa unyenyekevu ,ukweli ,upole ,uvumilivu ,ustahimilivu ,moyo wakufanya kazi ukizingatia kauli mbiu ya CCM ni hapa kazi tu, Huyu mwanamke mpaka unaweza kukaa ukajiuliza ,umekutana na malaika au?? Anajua moyo wamtu nikm ngumi ya mkono wake wakulia ,nasababu mimi sio mnene nina kangumi kadogo kwaiyo ninakamoyo kadogo [emoji8] basi bana ,,kua na kamoyo kadogo nakwambia mwanamke wawatu muda wote ni "baby mith you......umekula baba....poleee kwa kazi'' yaan niivi sipendi kunenepa ila ningeshakua bongeeee.



Mkuu inategemea umeangukia demu au mwanamke !!...ila true love lipo

Hahaaaa.

Namba 1 fan wangu unaanza kuniiga eeeh.

Nice words.
 
Mbona rahisi tu, embu search Real love - Massari, hadi video yake utaipata na lyrics na audio na beat na taarifa za producer wa ngoma ile na mwaka iliyotoka na mengine mengi tu.
 
Yes but ukimpata aliye weka profile yake original lakin ukikuta MTU kamuweka mphilipino akat yy ukoo wa sizonje hyo ata kwenye mahusiano lazima atakuwa muiguzaji mzur
 
Mbona rahisi tu, embu search Real love - Massari, hadi video yake utaipata na lyrics na audio na beat na taarifa za producer wa ngoma ile na mwaka iliyotoka na mengine mengi tu.
beat, producer na mwaka anataka afanye remix au?
 
Why not? yes you can find real love mtandaoni na pia you can make love na mupenzi wa mtandaoni.



Hilo swali ndio linatutatiza wengi.karibuni Tu share ideas,njia zipi za kupata mpenzi bora??Girlfriend,Boyfriend..je unaweza Ku make love na mtu uliekutana nae mtandaoni kama FB or JF na mkafika mbali???

Yes you can
 
Back
Top Bottom