Je, unaweza kuoa mtoto wa mchawi?

Je, unaweza kuoa mtoto wa mchawi?

Hapo sijapaona!
Kama hao wachawi ni maarufu hivyo mpaka kwao panaogopwa imekuwaje rafikiyo achelewe hivyo kufahamu?

Best c unajua tena ile ya kukutania kwenye matamasha ya shule ukapenda?

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Ntakubali ila sharti moja anipe assurance ya kuweza kuiba pesa banki kuu
Tuwe matajir hadi tuingie kweny ten best rich people over the world

Bonge la ushauri ila mmmh, applcation yake thatha...!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
aisee kuweni waangalifu katika kuoa..

hii ni hatua mojawapo muhimu katika maisha,

ukikosea kidogo, majuto yaweza kuwa milele na milele!
 
Ntakubali ila sharti moja anipe assurance ya kuweza kuiba pesa banki kuu
Tuwe matajir hadi tuingie kweny ten best rich people over the world

Mbona kila mtu angekua mchawi kwa style hyo??wachawi ni maskini hatari,yeye ni agent tuu,kama aliahidiwa nyumba na utajir baada kumuua flani
Akitimiza matakwa ya shetani wake tuu na yeye anatumiwa pepo la kusahau hapohapo ahadi alopewa.anatumika tuu na the devil himself.
Wanabaki tuu kupewa assignments but never succesfull,so dont kid yourself thingz r gon get easier with a witch beside you.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom