moonlight tz
Member
- Jun 11, 2019
- 51
- 75
Thubutuuu! Aisee toka pepo la upendo kupita kiasi
Ung'ekuwa wewe ndio rafikiyake ung'ekubali uolewe na huyo mume wake? Be honest pls.Hapo sitathubutu kabisa! Kama vipi na yeye akatafute wa kwake tuu
Naona hawa ndio wale wajukuu wa wahenga waliosema "kizuri kula na mwenzio"..
Unatamani nitoke???Nikajua umetoka JF madam.
You still here..
f
Unatamani nitoke???
Hapana nisingekubali!Ung'ekuwa wewe ndio rafikiyake ung'ekubali uolewe na huyo mume wake? Be honest pls.
Naona hawa ndio wale wajukuu wa wahenga waliosema "kizuri kula na mwenzio"..
Umenikumbusha Shadeeya yupo jamaa mmoja mzigua wa mkata yeye ana wake watatu na hujisifu mwenyewe kua kwenye zamu lazima wawepo wake zake wawili kwenye kitanda kimoja, mmoja kulia mwingine kushoto yeye katikati, eti kila mmoja anakua na "jukumu" la kufanya. Sijui amelipata kwenye kitabu gani hilo au ni mila labda!Daaah. Kushirikiana huku unajua yataka moyo kwa kweli.
Ila nimpongeze huyo aliyemkaribisha mwenzie japo hapo ipo namna si bure. Sababu kwa hali hiyo hawashindwi hata kulala wote na mume wao kitanda kimoja na wakajionea sawia tu.
Daah! Umeona sasa na utakuta hao wanawake waliichukia hiyo tabia japo mwisho wa siku imebidi wazowee tu.Umenikumbusha Shadeeya yupo jamaa mmoja mzigua wa mkata yeye ana wake watatu na hujisifu mwenyewe kua kwenye zamu lazima wawepo wake zake wawili kwenye kitanda kimoja, mmoja kulia mwingine kushoto yeye katikati, eti kila mmoja anakua na "jukumu" la kufanya. Sijui amelipata kwenye kitabu gani hilo au ni mila labda!
Ni kweli yawezekana mwanzo ilikua ngumu kwao lakini labda kwa kubembeleza ndoa ikawabidi wavumilie tu....dunia hii inamambo sanaDaah! Umeona sasa na utakuta hao wanawake waliichukia hiyo tabia japo mwisho wa siku imebidi wazowee tu.