Mabinti jamani chonde chonde, mjitunze jamani,😔😔.

Joao de Matos

JF-Expert Member
Jun 16, 2022
334
266
Mabinti Ni vizuri kujitunza kabla ya kuolewa hii italeta heshima kwa familia na mumeo ata kueshimu Sana, hata na jamii itakueshimu kwa sababu binti au mwanamke ni kama kioo kwa jamii, lakini hata mwanaume pia Ni vyema kujitunza.

Vipo vitu vinaweza kukupunguzia heshima kabla ya ndoa hata baada ya kuolewa, haya Ni baadhi niliyoyaona Mimi.

Kipindi nilipokuwa nasoma chuo flani kulikuwa na wanadarasa wawili ( girl and boy) walichukuana tuu wakawa wanaishi pamoja Kama mume na mke , Dada Yale alikuwa anampikia jamaa, kumfulia nguo na huduma zingine, jamaa tukikaanae wanaume tupu, tunamuuliza kuhusu bibie yeye anaeleza hata vya ndani. Hadi Mimi na wenzangu tukiwa pekeetu tukawa tunajiuliza hivi mtu atakaye muoa huyu Dada itakuwa mbona kashaonja maaisha ya unyumba hivi, mme wake atakuwa kauziwa mbuzi kwenye gunia, baada ya chuo kumaliza Kila mtu na maaisha Yake na mahusiano yao yakaisha. Sio hao tuu kulikuwapo wengine pia class na madarasa mengine. Na Mara nyingine mwanaume ni rahisi kutoa Siri za binti yule kwa washikaji wake, coz sio mkewe, daaa Ni aibu Sana Mimi binafsi nilikuwa nawaangaliaa Hawa watu mpaka daa najifikilia Mimi siku nikioa atakuwaje wangu huko alikotoka. Daaa so Pain 😔😔😩😩😩

Mwingine Kulikuwa na binti mmoja hapa church aliolewa na jamaa mmoja ndugu zao tunasalinae nao hapa church , baada ya kuolewa yule binti aliaangaika Sana Tena sana kuapata mtoto aliaangaika na mama Yake na mme wake mpaka wakaamua kumudapt mtoto mmoja, Lakini kumbe watu wengi walikuwa wanamjua yule Dada walisema alikuwa hajatulia alikuwa hovyo Sana Ni wale wa kubadilisha wanaume na wakasema hata mimba Wenda katoa yule Dada. Sasa siku Moja nikamsikia Dada yangu anaongea na mama yangu, Dada yangu Ni rafiki wa Dada mkubwa wa huyo Dada aliyeolewa , Dada yangu kipindi anaongea na mama yangu kuhusu huyo Dada nayetafuta mtoto, alimwambia kwamba Dada Yake mkubwa alimwambia kuwa Mdogo wake alikuwa anatumia dawa za uzazi wa mpango kabla hajaolewa nikaona daaa kumbe 😲😔, siku nyingine mzee mmoja wa church walimwambia ndugu mmoja wa yule mume wa dada aliyeolewa, kwamba kwa Nini mrimruhusu ndugu yenu aoe yule binti na mlikuwa mnajua kuwa alikuwa malaya hakutulia ila mlimuacha tuu, hamuoni wanaangaika kutafuta mtoto.
Wakiangaika Kama miaka 5 baadae wakafanikwa kutapa mtoto. Mwanzoni wa mwaka huu huyo Dada alikuwa na Mdogo wake anasoma chuo kikuu flani alipata ujauzito akiwa chuoni ilikuwa ndogo ila marafiki zake walijua huyo Mdogo wake alikimbilia kwa Dada Yake aliyeangaika kutafuta mtoto, kilichotokea walienda kutoa ujauzito kwa Sasa ujauzito Hana nikaona Daaaa haya Mambo hata Dada yake kashidwa kumshauri Mdogo wake

Kuna mwingine Ni jirani yetu hapa, wamefunga ndoa wana miaka zaidi ya kumi hawajafanikiwa kupata mtoto, ila shida ipo kwa mke wake , mke wake alikuwa Ni mtu wa kubadilisha wanaume Sana , na hata amewahi kutoa hujauzito Mara kadhaa. Huyo mwanamke kabla hajakutana na mumewe wa Sasa alikutana na jamaa mmoja niliambia alikuwa anauwezo vizuri Sana wa pesa ila watu walimbinya kuwa huyo binti alikuwa hivi na vile jamaa akamuacha , akatokea mumewe wa Sasa akamchukua watu wakamwambia huyo yupo hivi jamaa kapenda hataki kusikia mpaka ndugu Yale mmoja wa karibu akamwambia huyo Dada yupo hivi Muache akusikia , Sasa anayaona. Jamaa akamuaomba ndugu yake yule aliyemshauri mtoto wake mmoja akaenae ndo anakaane. Niliambiwa kuwa huyo mwanamke alikuwa Ni mzuri saa hapo Mwanzo, ila Sasa daaa ukimuona Unaweza kukataa ila watu wanasema hivyo na alikuwa anashape mzuri , ila kwa Sasa ukimuona ni tofauti kabisa Mimi MWENYEWE siamini daaaaa Basi tuu wanajf acha tuu.

Hivi vitu vinaumiza Sana upande wa mwanume hasa ukifikila Kama wewe mwanaume ulijitunza vizuri, ukaoa wa Aina hii, daa so pain.

Mimi mwenye nafikilia Sana huyo Dada nitakae muoa sijui atakuwa jamani we acha , Ni Lazima nichunguze asee.
 
Ndani ya ndoa mmewako akiona mkewe Kuna shida flani Unaweza ukamfanya aanze kufikilia kuwa kumbe nimeoa mtu wa Aina flani, Unaweza kumfanya asiwe na furaha na hata mkifanikiwa sisi mwanaume tuna kinyongo flani, Ni vyema mkajitunza jamani.
 
Nje ya mada mkuu, wewe ni Technician wa kitu gani?

Ndani ya mada, jifunze kuachana na maisha ya watu! Wenye hao wachumba hawalalamiki wewe unaandika marefuuuuuuuuuuuuuu ukionesha roho inakuuma haswa. Wewe unamjua utakaemuoa?

Unawweza kumuoa bikira ila akawa kituko haswa ndani ya ndoa na unaweza kumuoa huyo aliyeishi na jamaa chuoni akawa mama bora kabisa wa familia.
 
Nje ya mada mkuu, wewe ni Technician wa kitu gani?

Ndani ya mada, jifunze kuachana na maisha ya watu! Wenye hao wachumba hawalalamiki wewe unaandika marefuuuuuuuuuuuuuu ukionesha roho inakuuma haswa. Wewe unamjua utakaemuoa?

Unawweza kumuoa bikira ila akawa kituko haswa ndani ya ndoa na unaweza kumuoa huyo aliyeishi na jamaa chuoni akawa mama bora kabisa wa familia.
Asante kwa
mchango wako.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom