Je, unaweza kumuomba mumeo amuoe rafiki yako

Kwa upande mwingine hakika ni changamoto kubwa... Lakini unaonaje kama sheria itafuatwa na ustaarabu, hii haitakuwa jambo jema kwako...??
Daaah. Kaka kile kitu kushirikiana huku unajua yataka moyo kwa kweli.

Ila nimpongeze huyo aliyemkaribisha mwenzie japo hapo ipo namna si bure. Sababu kwa hali hiyo hawashindwi hata kulala wote na mume wao kitanda kimoja na wakajionea sawia tu.
 
Vibaya hivyo! Hata kwa rafiki yako kipenzi ambaye naye anatamani kuwa kwenye ndoa? 😜haimalizi wala hapunguzi utamu wake 😂
B em nielewe tafadhali😂nimesema sitaki nusu na robo mimi...mambo ya kuamka asubuhi upo pekeako kitandani inahusu...?? Stakkkiiii mm jomoniiii😩😩
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Labda hivyo Kaka.
Ifanye misingi mikuu ya maisha yako iwe ni ile ile misingi ya dini yako. Isikughururi dunia yako na kukupindisha katika yale uyaaminiyo.

Imekupambanukia haki kutoka kwa mola wako mlezi na kamwe usijihisi mnyonge mbele ya wanaodhani umepitwa na wakati. Hiyo ni neema kuliko ambavyo akili yangu na yako inaweza kufkiria.

Jitape kuchaguliwa kuwa muislam na ulikumbuke kaburi lako kila uchao, ridhaa juu ya sheria za mola wako (kwa mujibu wa imani yako) zitamimina nuru haswa siku watakayokuweka kwenye mwanandani wako. Itafute elimu juu ya dini yako na usiwe mwenye kufuata mkumbo wa wasiojua.

Samahani sana kama maneno yangu yatakuwa yamekuumiza au kukukera, nilikusudia kuyaweka PM kwako ila ni kheri pia kwamba ukumbusho huu utawafaa na waislam wengine.
 
Na bora usifanye hivyo, maana unaweza kukuta rafiki yako K mnato mume akakolea huko ww ukasahaulika
 
Back
Top Bottom