Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,375
- 161,378
Hakuna mwanamke anaeweza bana, hata kwa utani tuu wajifunike shuka mojaAina ya dude lililompa two children
mi siiwezi hii hata kiunafiki tu
Hakuna mwanamke anaeweza bana, hata kwa utani tuu wajifunike shuka mojaAina ya dude lililompa two children
mi siiwezi hii hata kiunafiki tu
Kuna yule mkuu wa wilaya aliifanya hii km vile,,Hakuna mwanamke anaeweza bana, hata kwa utani tuu wajifunike shuka moja
And this is me!this is Africa
Siyo kumuoa tuu, hata mawasiliano na rafiki yangu sitaki.
What's mine , is mine sitaki urafiki.
Yule nae alikuwa na jambo!Kuna yule mkuu wa wilaya aliifanya hii km vile,,
Yule aliamua kuipendelea siasa kuliko mume...ndio maana mume na yeye wakashauriana...aoe mwingine...Kuna yule mkuu wa wilaya aliifanya hii km vile,,
Hawakosi kuwa wanasagana.Wanafanya utani na mume!.
Au kuna jambo nyuma ya pazia, mume aangalie vizuri! Huo urafiki wa hivyo labda mbinguni dear
Acha kutuaminisha uongo!Wanawake mna roho mbaya...
Yule alitumia mwanya huo kufanya siasa zake...ht ukimwangalia tu utajua kuna kauzembe anako...Yule nae alikuwa na jambo!
Alitaka nafasi ya kufanya yake
Hahaha hahaha hahahaHawakosi kuwa wanasagana.
Sasa wameamua kusogezeana huduma karibu.
Urafiki ulioshibana my foot!!!!
Shishei dyudyu ya mume wangu na mtu kwa hiyari yangu hata siku moja.Wanawake mna roho mbaya...
Yule nae alikuwa na jambo!
Alitaka nafasi ya kufanya yake
Marafiki wa kushibana sana wengi wao huwa wanasagana.
Pengine hao wadada pia ni wanasagana.
Kabisa, sio kwa mapenziYule alitumia mwanya huo kufanya siasa zake...ht ukimwangalia tu utajua kuna kauzembe anako...
Kama umpi mumeo nipe mimi basiAnd this is me!
Simpi mtu mume wangu, namtumia mpaka utamu woote uisheee
Hata kama ingebaki kuwa tamu, simpi mtu mume wanguKwani kuna kitachobadilika? Si anabaki kuwa yule yule tu.
Sidhani km ni siasa pekee yule bibi alikuwa na kigwajiboy chakeYule aliamua kuipendelea siasa kuliko mume...ndio maana mume na yeye wakashauriana...aoe mwingine...
Acha kutuaminisha uongo!
Tunapendana sana!
Ila hii kitu ya kuoa mke zaidi ya mmoja Mimi naona Ipo kukandamiza wanawake.Hahaha hahaha hahaha
Una mawazo kama yangu! Huyo mwanaume aangalie kwa jicho la tatu