Mahmood
JF-Expert Member
- Feb 9, 2008
- 7,908
- 2,480
Alikosa raha ulipougua! alipigana na kutukanwa ulipoonewa, alikaa na njaa ili wewe ushibe na kufurahi. Aliakikisha halali mpaka ww ulale, na kikubwa zaid mimi na wewe tusingejuana wala kupendana bila yeye, Je unamjua huyu? Si mwingine ni MAMA. KUMBUKA PARADISE ZETU ZIKO CHINI YA NYAYO ZA MAMA ZETU. (MPENDE SAANA MAMA)
AKIWA HAI MLIWAZE NA KAMA AMEFARIKI USIACHE KUMUOMBEA DUA. Kumbusha wengine umuhimu wa MAMA.
AKIWA HAI MLIWAZE NA KAMA AMEFARIKI USIACHE KUMUOMBEA DUA. Kumbusha wengine umuhimu wa MAMA.