Adam hakuzaliwa bali aliumbwa.. Hii ni kwa mujibu wa misahafu ya baadhi ya dini.... Eva naye hakuzaliwa bali ilikuwa ni kama kitu leo hii tunaita cloning....
Lakini cha ajabu hakutokea kama replica ya Adam kulikuwa na tofauti kidogo kwenye via vya uzazi.. Halafu Adam akamrudi Eva akamgeuza bibi yake... Kiswahili kibovu AKAMLA... hii ni haramu pengine.. Yani alikula nyama yake.... Halafu wakaanza kufyatua watoto...
Watoto nao wakafyatuana kizazi kikaongezeka vikawa vizazi koo makabila mpaka mataifa
Mimba hutungwa kwa msaada wa watu mawili manii za mwanaume na mayai ya kike... Lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.