FM facts
Member
- Mar 16, 2019
- 45
- 88
Anaitwa John Francis, Watu Humwita Pia 'The Planet Walker' Kutokana na Uwezo wake wa Kutembea Kwa Mguu Kwani Amewahi Tembea Kwa Miguu Kuzunguka Sehemu Mbalimbali kwa Miaka 22.
Aliwahi Kukaa Kimya Bila Kuongea Kwa Miaka 17 Kutoka Mwaka 1973-1990
Alizaliwa Huko Philadelphia Nchini Marekeni Mwaka 1946 na Mpaka sasa ana Umri wa Miaka 73.
Alipomaliza Kusomea PHD ya Masuala ya Ardhi Huko Marekani, Alianza Kuzunguka Maeneo Mbalimbali Kusini mwa Marekani na Hatimae Kumaliza Majimbo 48 Aliyokua Anatembea Kwa Miguu Porini kwa Muda wa Miaka 22.
Inaelezwa kuwa Pia Bwana John Wakati Akiwa Mdogo Shule Huko Calfonia, Alipewa Baiskeli na Baba Yake imsaidie kwa Usafiri lakini Baadae Akaachana nayo na Kuanza Kwenda Shule kwa Miguu.
Tufollow Instagram @fm_facts
Sent using Jamii Forums mobile app