Je, unakijua kikosi cha KM?

Je, unakijua kikosi cha KM?

kunamshikaji wangu ni mwanajeshi wa JWTZ kunasiku tulikuwa tuna discuss mambo kama haya jamaa alinambia KM ni hodari wa kupiga hakuna mfano hata wao wana waappreciate kwa hilo,ndomana kunausemi unasema asiyefunzwa na mama hufunzwa jela,hakuna mwenye kiburi jela hata uwenyani
 
mkuu maishapopote au na ww mjumbe nn kwenye bunge la katiba??
upo bize unakimbizana na posho?? maana twakusubili huku na vibando vyetu mkuu
hahahaha,Mkuu Mimi si mtu wa siasa na sitarajii kuwa mwanasiasa,maana kuwa mwanasiasa ni hatari kuliko jasusi,ukiwa jasusi ukikosea adhabu yake unapewa wewe mwenyewe,lakini ukiwa mwanasiasa ukikosea wanachi wote nchi nzima wanaadhibiwa,adhabu kali
 
Anatoa elimu nzur sana ambyo huwez ipata popote ila nashndwa kuelewa taarfa za kiinteligencia anazpata wap na kuwa na uwezo wa kuzisema hadharan hv
Mtena,huitaji kuwa mwanainteligencia kujua inteligence,read between the lines brother.....hizi sio classified information ni kama kukuambia kuna kitengo cha cybercrime katika jeshi la Polisi (najua hutaamini ila kipo na wanatumia computer na gadget na nini hv..) je n kosa? Jiongeze bro
 
DSC_0424.jpg



4..JPG

DSC_0366.jpg
 
Back
Top Bottom