Binafsi sijaona ukali wao. Mtu kavaa mavazi kama roboti, buti chuma na marungu kma yote ndio wamepewa cheo Cha ukali? [emoji23]
Huku kitaa Kuna raia miili Yao pekee ni chuma, na hawana Uhuru wa kupiga zile tizi Kali kama za hao na still wako fit.
Ikitaka kuamini kama hao jamaa ni kawaida tu, mvue hizo protective gears alafu aje kupambana. Mind you... ulishasema ni form four failure, hadi hapo sifa ya uhodari na weledi hawana maana kichwani ni zero brain.
Moja ya sifa ya kupata mafanikio ki mapambano ni weledi, kupambana ni akili, nguvu / ukomavu vinachukua percent chache mno.
Hao mi nawatafsiri na wafanya fujo waliochangamka.