Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,478
- 39,998
Je Unajua: Tume ya "kukusanya" maoni ya Katiba Mpya inayoongozwa na Jaji Warioba haikulazimishwa na sheria kukubali maoni ya wananchi wengi? Yaani, hata kama wananchi wengi zaidi wangependekeza kitu fulani tume haikutakiwa kukikubali? Kimsingi SIYO tume ya KUKUSANYA maoni bali ya KUSIKILIZA MAONI. Sivyo?
Swali la kujiuliza basi ni hili: Kama Tume haikulazimishwa kuchukua maoni ya wananchi wengi na kuyafanya sehemu ya Katiba je tunaweza kusema kwa haki na dhamira safi kuwa "Katiba imetokana na Wananchi" hasa kama maoni ya Wananchi hayakuingizwa kwenye Katiba hiyo?
Sasa walitumia fedha nyingi kupita kusikiliza maoni kwa nini kama wangeweza tu kuandika rasimu yao __halafu waone mwitikio wa wananchi ni nini?Kweli, sheria haikuwalazimisha, hivyo inawezekana wamechambua waliyoona inafaa zaidi.
Ili kupima Je wananchi sasa wanajisikiaje? Imetoka kama walivyotaka? Kama wengi wana hisi hivyo basi ni maoni ya wananchi.
Pia katika kipindi hiki hatutegemei perfect contstitution
Katiba hii itakuwa haijatoka kwa wananchi.Hakuna kigezo chochote kinacho onyensha kwamba katiba hii imetoka kwa wananchi.Nothing!Je Unajua: Tume ya "kukusanya" maoni ya Katiba Mpya inayoongozwa na Jaji Warioba haikulazimishwa na sheria kukubali maoni ya wananchi wengi? Yaani, hata kama wananchi wengi zaidi wangependekeza kitu fulani tume haikutakiwa kukikubali? Kimsingi SIYO tume ya KUKUSANYA maoni bali ya KUSIKILIZA MAONI. Sivyo?
Swali la kujiuliza basi ni hili: Kama Tume haikulazimishwa kuchukua maoni ya wananchi wengi na kuyafanya sehemu ya Katiba je tunaweza kusema kwa haki na dhamira safi kuwa "Katiba imetokana na Wananchi" hasa kama maoni ya Wananchi hayakuingizwa kwenye Katiba hiyo?
mmk mie kuna jambo ambalo huwa silielewi kabisa??
hivi kwani nia ya kuwa na tume ya kukusanya maoni ya katiba je ilikuwa ni kupata katiba mpya ama kupata yatakayokuwemo kwenye katiba mpya.
namanisha kwamba ni ili kujua kama wananchi wanakubali uwepo ama kutokuwepo kwa katiba mpya??
mmk mie kuna jambo ambalo huwa silielewi kabisa??
hivi kwani nia ya kuwa na tume ya kukusanya maoni ya katiba je ilikuwa ni kupata katiba mpya ama kupata yatakayokuwemo kwenye katiba mpya.
namanisha kwamba ni ili kujua kama wananchi wanakubali uwepo ama kutokuwepo kwa katiba mpya??
Je Unajua: Tume ya "kukusanya" maoni ya Katiba Mpya inayoongozwa na Jaji Warioba haikulazimishwa na sheria kukubali maoni ya wananchi wengi? Yaani, hata kama wananchi wengi zaidi wangependekeza kitu fulani tume haikutakiwa kukikubali? Kimsingi SIYO tume ya KUKUSANYA maoni bali ya KUSIKILIZA MAONI. Sivyo?
Swali la kujiuliza basi ni hili: Kama Tume haikulazimishwa kuchukua maoni ya wananchi wengi na kuyafanya sehemu ya Katiba je tunaweza kusema kwa haki na dhamira safi kuwa "Katiba imetokana na Wananchi" hasa kama maoni ya Wananchi hayakuingizwa kwenye Katiba hiyo?
Je Unajua: Tume ya "kukusanya" maoni ya Katiba Mpya inayoongozwa na Jaji Warioba haikulazimishwa na sheria kukubali maoni ya wananchi wengi? Yaani, hata kama wananchi wengi zaidi wangependekeza kitu fulani tume haikutakiwa kukikubali? Kimsingi SIYO tume ya KUKUSANYA maoni bali ya KUSIKILIZA MAONI. Sivyo?
Swali la kujiuliza basi ni hili: Kama Tume haikulazimishwa kuchukua maoni ya wananchi wengi na kuyafanya sehemu ya Katiba je tunaweza kusema kwa haki na dhamira safi kuwa "Katiba imetokana na Wananchi" hasa kama maoni ya Wananchi hayakuingizwa kwenye Katiba hiyo?
Mzee Mwanakijiji hoja gani hii tena? we ulitaka wakubali kutokana na wingi na siyo kutokana na hoja!!
Hata hivyo hapo kwa red siyo kweli, unatafuta sababu ya kuikosoa tume bure. Tunajua hii rasimu imekaba watu wengi sana, hasa waliokuwa na hidden agenda/personal interest. Sasa kila kukicha wanawaza wataanzia wapi kuikosoa tume ili kutimiza ambitions zao.
Nakutalia hapo kwa red kwa sababu mimi binafsi, nikiwa mwananchi wa kawaida nilitoa nilipendekeza mambo 9. Katika hayo ni moja tu ndo lilipigwa chini (la wakuu wa mikoa na wilaya), the rest were taken on-board. Of course, simaanishi ni mimi tu ndo niliyapendeza, ila nataka kuonyesha kuwa walikuwa wanaangalia uzito wa hoja na impact yake kwa taifa. Na hivi vingezo vinatakiwa kuzingatiwa hata huko kwenye mabaraza na kwenye bunge la katiba. Tukienda kwa idadi ya watu utashangaa hoja ya ndugai khs spika na naibu wake inapita!!!
sheria nimeisoma ila sijaona mahali ambapo swali langu hili limejibiwa kwa ufasahaSoma sheria ya mabadiliko ya katiba.