Yaani ni mesoma ubishi wote sijaona pointi...
Condom zina kazi tatu
Moja kukinga mimba
Mbili kukinga magonjwa ya zinaa
Tatu ambayo ndo muhimu kuliko zote ni kurudisha heshima ya ndoa.. Maelezo kidogo.. Ndom zime saidia mno kwa yale majamaa yanayo tapika baada ya sekunde 15, ukiwa na ndomu unaweza kwatua ile kitu mpaka dk 30 yaani mpaka inakauka baadae ikipasukia kwa ndani ndo Ile sekunde 15 za raha ya ajabu hutokea
Kuna jingine....!!